Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

Hata Usema vipi Ukweli itabaki pale pale…
Msimbazi wachezaji wazawa wanawaloga wageni ili wasifanye vema kwa kila namna.
Wakati wenzao wa Jangwani hakuna wachezaji kulogana…kabisa
kunna wazee kina Mpili na wenzake wakikuchungulia wakakuta unaloga wenzio wanakuondoa Fastaaa!
Kuloga wanaloga nje sio wachezaji wao kwa wao.
Msimbazi huu mtundo unadekezwa na Viongozi sio kwa masslahi ya Timu bali Mahaba ya Wachezaji wanaowapenda!
Kwahiyo Mzamiru anamroga nani pale?
 
Walio mleta kocha wanajua falsafa za Robertinho ni direct football sasa kumlaumu ni ku mkosea, direct football inahitaji nguvu na kasi ya kuwahi kwenye maeneo.

Bahati mbaya aina iyo ya mchezo inahitaji vijana tena wenye kasi sana.
Simba ya sasa ina wachezaji wazuri ila inakosa uwiano, na kujituma.
Unataka kusema usajili ulifanyika bure?
 
Kocha Ameishiwa Mbinu Bhana huyo Chama Unayesema Anamuangusha Kocha Ndiye Aliyefunga Mabao Mawili Away yaliyotusaidia kuingia Makundi

Huyo ni TAHIRAA mkuu.

Akili yake haipo TIMAMU.

Tuliisha mpuuza

Hakuna Mtu MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEWEZA KUhangaika NAYE.
 
Naomba nimnukuu cash man

"Mchawi kigagula uliyetukuka.
Ulianza kumsema Mgunda eti anamfanyia hujuma Roberto na ukataka afukuzwe na kweli aliondolewa.

Wewe ni kirusi mkubwa na ungekuwa mdudu unayeonekana unastahili kupotezwa kabisa"

Cash man
 
Huyo TAHIRA AMEKAA amwtafakari.

Ameona aje alete UPUMBAFU wake hapa.

TAAHIRA MKUBWA WEWE.....
 
Huyu Kibu anayeshindwa hata kutuliza mipira ndio unasema anampigania kocha ahaaaa
 
Angalizo la nini????

Hakuna Neno la kiswahili.

TAAHIRAA
TAHIRAAA
TWAHIRAAA
TAAAILA NK.
Vitabu vya dini vinasisitiza vile vile na watu wenye akili kila siku wanasisitiza kuwa " usibishane na mpumbavu(tahira,chizi nk)" sasa wewe umeshakiri kuwa mleta nada ni tahira hana akili halafu kila siku unamfuatilia mada zake ,kubishana nae ,kumchokoza nk hapo haujioni kuwa wewe unatatizo kubwa ndani yako ?

Yeye(GENTAMYCINE ) hayuko tayari kubadilika na ameshindikana kurekebishika sasa kwa nini bado unamfuatilia na kashatoa ANGALIZO ukiwa haufurahishwi na mada zake ?
 
Popoma Bwana yaan Edo acopy kwako wakati yeye muda mwingi yuko na hao wachezaji.
 
Uwe unaona aibu KUANIKA Upumbafu wako kwenye mitandao ya kijamii.
 
Ni mpumbavu tu anaweza amini upuuzi huu... Chama Zambia kafunga 2 , kwahiyo anapobanwa ndio anamhujum kocha?. Wewe na mangungo mna matatizo... Viwango vya wachezaji wenu n vidogo Sana... Hasa Ngoma amekuwa mtamba balaaa. Kanoute hapaswi kuwekwa bench na Ngoma.
 
Huyo ni TAHIRAA mkuu.

Akili yake haipo TIMAMU.

Tuliisha mpuuza

Hakuna Mtu MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEWEZA KUhangaika NAYE.
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.

Taahira zaidi yangu ni Yule Aliyekuzaa.
 
Mimi ni Taahira kuliko Yule Aliyekuzaa?
 
Back
Top Bottom