Kwahiyo Mzamiru anamroga nani pale?Hata Usema vipi Ukweli itabaki pale pale…
Msimbazi wachezaji wazawa wanawaloga wageni ili wasifanye vema kwa kila namna.
Wakati wenzao wa Jangwani hakuna wachezaji kulogana…kabisa
kunna wazee kina Mpili na wenzake wakikuchungulia wakakuta unaloga wenzio wanakuondoa Fastaaa!
Kuloga wanaloga nje sio wachezaji wao kwa wao.
Msimbazi huu mtundo unadekezwa na Viongozi sio kwa masslahi ya Timu bali Mahaba ya Wachezaji wanaowapenda!