Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
na ndio maana Lisu kapoa kama maji ya mtungi kuonesha yuko pamoja na mama. Huyu suzy mleta mada hapa atasubiri sana na sukuma gang wenzake.TL atakuwa anajichimbia kaburi lake na kupotea kwenye ramani kama atamdhihaki Rais SSH.
Ikumbukwe Lissu aliposhambuliwa na risasi za kikundi cha akina Makonda, kisha kufanyiwa emergency treatment pale Dodoma Regional Hospital, alisadirishwa hadi Nairobi kwa matibabu.
Akiwa pale Agakhan hospital hakuna mwana CCM hata mmoja aliyethubutu kumtembelea pale hospitalini zaidi ya Makamu wa Rais wa wakati huo Samia Suluhu. Waliogopa kwa kuwa Magufuli hakutaka Lissu awe hai na hakutaka afarijiwe Wala kulipiwa matibabu.
Kama Lissu atamnanga Rais SSH kwa mdomo wake mchafu basi LAANA kubwa itampata kwa kukosa SHUKRANI
Ukweli upi Mkuu? Kumbeba Lowasa 2015?Mtu anawaambia ukweli mnasema ana mawazo negative,hivi kweli bado tuna safar ndefu sana
Na mkiambiwa ukweli kuhusu huko mlipo mnaita watu wasaliti na majina mengine mengi, mmepotea broVumilia tu huu ndio ukweli uliopo hata kama huupendi. Sina tabia ya kutoa mawazo positive ya kuhadaa watu. Kilichopo ni negative, hivyo nikiaddress kama kilivyo na sio kinyume chake.
Upigaji ramli huu hapa hakuna fikraHuwa sikubaliani na wewe kwa mambo yote na kwa dharau zako sitarajii kukubaliana na wewe kwa lolote. Lakini...
...tambua Tundu anautaka u Rais wa Tanzania kwa gharama yeyote ile.
...tambua Tundu anarejea na MIKAKATI mahsusi ya namna ya kuiondoa CCM madarakani kutoka kwa wazungu na usifikiri wamewekeza kwa Tundu bure bali muda wote huo wameishi naye wakimuandaa ili aje kuchukua madaraka ili wao walichoki target iwe rahisi kukipata kwalo.
...tambua Tundu hawezi kamwe kuwa na huruma na mwana CCM/mtu yeyote aliyepo CCM kwa namna walivyomfanya.
...2022 ni mwaka mbaya sana kwa CCM kwa sababu kwanza tayari wao kwa wao wamegawanyika na wanatukanana waziwazi!
Mapumbavu ya Mwendazake haya, Lissu anarudi na maisha yataendelea kama kawaida, and hakuna mtu atapigwa risasiUpigaji ramli huu hapa hakuna fikra
Nimeichukua Da SuzzyUjio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.
Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.
Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!
Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.
2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Na mkiambiwa ukweli kuhusu huko mlipo mnaita watu wasaliti na majina mengine mengi, mmepotea bro
Imeisha hiyo master 🙌Twende na TL 2025
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa tu
Jamaa amekujibu vizur kuwa anaheshimu mawazo yako ila katiba mpya ni muhimu,then unakuja hapa unasema katiba mpya sio muhimu,naomba nikuulize hivi una akili timamu ?Katiba sio muarobaini wa Matatizo ya Tanzania. Watu waache uchu wa madaraka na kuwakamua walipa kodi wa Tanzania. Sheria isimamiwe kwa haki kwa kila Mtanzania. Nyie Chadema mbona katiba yenu ndogo tu ya chama chenu imewashinda kumuondoa madarakani Mbowe? Mtaweza Katiba ya nchi? Wacheni gelesha zenu.
Nonsense [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Tengenezeni ya Chadema Kwanza. Mnashindwa hiyo ndogo tu, mtaweza ya Tanzania? You guys must be joking. I'm sorry but ... huu ujanja ujanja wa sungura hautawafikisha popote.
Mataga si mnanyofolewaga akili hapo lumumba,kwani hatujui mmebaki kujikombakomba kwa viongoziUkweli upi Mkuu? Kumbeba Lowasa 2015?
Fanya haraka kimbia Dodoma pale Kuna hospital zenuAna ushawishi wa wazi, ni karma automatic toka kwa Mungu. Iwapo Tundu Lisu asingerejea uchaguzi wa 2020, uchaguzi ule usingekuwa na msisimko ilioupata dakika za mwisho, wala usingefikisha hata hao wapiga kura wachache waliojitokeza. 50% ya wapiga kura wachache waliojitokeza, walifanya hivyo kutokana na hamasa ya uwepo wa Lisu. Hali ile ndio ilichangia Magufuli kuagiza mchakato wa uchaguzi uporwe, maana aliona aibu kwa matokeo yaliyokuwepo.
Fanya haraka kimbia Dodoma pale Kuna hospital zenu
Tundu lisu wala hana tatizo na Samia.usisikilize maneno ya vijiweni.TL atakuwa anajichimbia kaburi lake na kupotea kwenye ramani kama atamdhihaki Rais SSH.
Ikumbukwe Lissu aliposhambuliwa na risasi za kikundi cha akina Makonda, kisha kufanyiwa emergency treatment pale Dodoma Regional Hospital, alisadirishwa hadi Nairobi kwa matibabu.
Akiwa pale Agakhan hospital hakuna mwana CCM hata mmoja aliyethubutu kumtembelea pale hospitalini zaidi ya Makamu wa Rais wa wakati huo Samia Suluhu. Waliogopa kwa kuwa Magufuli hakutaka Lissu awe hai na hakutaka afarijiwe Wala kulipiwa matibabu.
Kama Lissu atamnanga Rais SSH kwa mdomo wake mchafu basi LAANA kubwa itampata kwa kukosa SHUKRANI
Nakumbuka pia aliwahi kusema "tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea.TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!
Kugawanyika kwa wana CCM ni
Yaani kwa wapinzani hadi tume huru iwatangaze wao na mahakama isiwahukumu wao ndio nchi ina haki..tatizo wanaofungwa ni wapinzani peke yao, ccm wao wanapata tu.
..itafika mahali wananchi wataanza kudai MAHAKAMA HURU, zaidi ya Tume Huru ya Uchaguzi wanaodai hivi sasa.