Wewe ndio mjinga zaidi ya kujikomba kuna lingine unajua hebu niambie unacho kijua nje ya kujikomba komba.
Nijikombe Ili nivumbue nini? Wanaojikomba Huwa wanafika mahala wanachoka,Niko hapa Toka 2021 Hadi Leo naendelea Hadi Samia atakapoishia.

Punguza upumbavu na chuki
 
Raia wanapigana na umasikini mkubwa sana, juzi nilikuwa janda ya Ziwa, Mara, SImiyu na Shinyanga, kule Mara kuna Umasikini wa kutisha kabisa wa kuuona kwa macho, ila hakuna anaye jali. Kuna umasikini mkubwa wa vipato kule.

Nenda kule Musoma Vijijini hadi kwa Baba wa Taifa Butiama kuna Poverty sana now day.

Kilimo cha pamba ndicho walikuwa wanategemea ila kimekufa na hakuna dalili za kufufua tena, raia wamebakia masikini. CCM kutwa nzima wanaenda na Project za vitu kule.
Hawa wajinga wanacho jua ni propaganda za majengo,
 
Unaposema hakuna anaejali una maanisha nini? Je Serikali inagawa hela?
 
We chawa una majibu ya kiburi .

Uzuri ni kwamba mwisho wenu umekaribia .
Jibu swali,unaposema unaona umaskini Kwa macho then unasema hakuna anaejali unamaanisha nini?

Usijifiche kwenye ujinga wako wa neno chawa
 
Mbona mzumbe wamechelewa sana kumpatia Bi Kizimkazi hiyo degree yake ya heshima!!!! Hawana adabu kabisa๐Ÿค”๐Ÿ˜ ๐Ÿคจ, msheshimiwa Rais anastahili kupewa shahada za heshima na vyuo vikuu vyote Tanzania.
 
Mashallah. Rais hijab imetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ