Wewe ni mpuuzi unapendaga sana Ligi za kijinga na ujuaji mavi.Hoja yangu inahusi public Universities na Higher education Institutions na sio Vyuo vya Private.

Futa hiyo Mikoa niliyorudia mara 2 ongeza harafu leta hesabu.

-Mtwara
-Mara
-Katavi
Wapi ulisema unamaanisha vyuo vya umma tu? Ndio nakuuliza tena kwani vya private vikiwa private vinakua sio vyuo vikuu?

Pili nimekuuliza open University sio Cha umma? Kwenye hiyo mikoa kuna open University.

Tatu ni nani alikuambia hiyo mikoa umeiongeza haina vyuo vya umma?

Mtwara Kuna TIA
Mara kuna MJNUAT
Katavi kuna branch ya SUA, ipo kule kibaoni.

Unataja tu mikoa hata huelewi chochote
 
Jamaa anaandika bila data, hafanyi tafiti, Open University ni chuo

Cha Umma kipo mikoa yote na hata baadhi ya wilaya nchini na watu
wengi wanahitimu kwenye hiyo mikoa.
 
Jamaa anaandika bila data, hafanyi tafiti, Open University ni chuo

Cha Umma kipo mikoa yote na hata baadhi ya wilaya nchini na watu
wengi wanahitimu kwenye hiyo mikoa.
Ni muongo kinoma. Hajui hata mkoa wa katavi kuna katavi University

Kila anachoandika kuna uongo ndani yake kwa 99%
 
Jamaa anaandika bila data, hafanyi tafiti, Open University ni chuo

Cha Umma kipo mikoa yote na hata baadhi ya wilaya nchini na watu
wengi wanahitimu kwenye hiyo mikoa.
Achana na mambo ya Open university,huko wanasoma wazee hakuna fresher anaenda kusomea bachela hapo.

Nasisitiza Mikoa 15 haikuwa na Vyuo na nimeitaja apart from yenye Vyuo ambako kote Kuna miradi ya Upanuzi wa miundombinu inaendelea.

Hutaki andika mada Yako kunipinga
 
Ona Sasa ulivyo nyumbu,Branch ya SUA Kibaoni inatoa Undergraduate Degree?

Unajua Chuo Cha Kilimo na Teknolojia Cha Mwl.Nyererw Butiama kimefufuliwa mwaka gani? Au umewahi kusikia wanafanya mahafafi ya undergraduate degree kabla ya Samia?

Nafahamu kwamba TIA Mtwara branch ipo ila haitoi degree,labda kama imeanza miaka ya saizi.

By the way nimeitaja Mtwara makusudi kabisa Kwa sababu MUST wameanzisha Tawi Mtwara Tech makusudi kabisa Kwa Ajili ya walimu wa Ufundi watakaofundisha kwenye mitaala mipya.
 
SUA katavi kibaoni wanatoa undergrauate courses. Bsc resources management.

Kuhusu MJNUAT unasema nimewahi kumsikia nini? Kimefufuliwa lini? Epuka aibu ndogo ndogo Kama jambo hujui kaa kimya
Watu wanasoma hapo na kuna ndugu yangu allisoma hapo 2019 BSc in Aquaculture

TIA mtwara inatoa degree courses za Accountancy, HRM na procurement

Wewe ni muongo muongo kinoma alafu vitu vingi hujui
 
Mzee wa my takeπŸ˜€, chawa wa samia
 
Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili.
Na Lucas Mwashambwa abubujikwa machozi na kugaagaa chini kwa furaha
 
Technically huyu ndugu yako atakuwa ni failure, haiwezekani ukasome kwenye Chuo ambacho hakina miundombinu yenye hadhi ya Chuo na miaka 8 hakijapata Wanafunzi harufu uje kusema ni Chuo Kikuu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/1tyXXPWuRGQ?si=oeGPUQRupCSaI4ug
Sawa tuu na huko Kibaoni,Ile ni Kambi ya Wachina hapana Chuo pale but via HEET Project Sasa kitakuwa Chuo Kikuu.

Mwisho Samia anakipa hadhi ya Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha Mwl.Nyerere Butiama πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mzee wa matango pori ulikua ushaongopa kama kawaida, anyway nimekuweka sawa tu wala sina lengo la kuharibu kazi yako

Umewahi kufika mtwara?, Kuna swali nataka kukuuliza
 
Mzee wa matango pori ulikua ushaongopa kama kawaida, anyway nimekuweka sawa tu wala sina lengo la kuharibu kazi yako

Umewahi kufika mtwara?, Kuna swali nataka kukuuliza
Huna pa kuniweka sawa najua sana Chuo kilianza enzi ya JK ila kilijifia Hadi mwokozi Samia alipokuja kukihuisha.

By then kulikuwa Chuo Cha Ma failures kama huyo ndugu yako , wengine wote walikitelekeza Kwa miaka 8.

Yaani uliwahi ona wapi Chuo Kikuu kina majengo kama ya shule ya Msingi? πŸ˜†πŸ˜†

Na Kwa taarifa Yako tuu hata Hospital ya Mkoa wa Mara Sasa imegeuzwa kuwa kitengo Cha umahiri wa magonjwa ya mifupa baada ya kufufuliwa.
 
Huwa unasoma unachoandika? Mwanzo ulisema hakuna, sasa hivi ni Cha failures?

Umetaja mikoa ukiwa huelewi chochote kabisa hadi mwanza ukaitaja, mtumwenye akili timamu na yupo Tanzania anaweza kusema mwanza hakuna chuo Cha umma? Ina maana wewe hata IRDP huijui?

Ina maana hujui hata TIA wapo mwanza?

nimekusaida leo kujua

Nilipoona umetaja mwanza nikajua haupo sawa kichwani
 

Chuo sio jina ni wanafunzi,kama hakuna wanafunzi hakuna chuo,so Mkoa wa Mara ulikuwa hauna Chuo.

Pili TIA Mwanza ilikuwa inakodi vijengo ndio watolee degree humo? Hapo ilikuwa ni Certificates tuu.

Sikiliza video hapa uone kazi ya Samia,Chuo kipya kabisa kimejengwa Misungwi πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/VwW7rYvD9uQ?si=-i12Y9UnUY0vIjuw
View: https://youtu.be/IKP5NgpoqI8?si=X3pqME9k-GvnV3NM
On top of that ujenzi unaendelea DIT Mwanza Campus na Chuo Kikuu Cha Ardhi pale Sengerema.

Mwisho hicho sio Chuo Kikuu ni kituo Cha Mafunzo Vijijini Kanda ya Ziwa,Chuo mama kipo Dom na Shahada zinaandikwa Chuo mama .

Kwa kuongezea hiyo senta ilikuwa kama shule ya kata Hadi alipokuja mwokozi Samia kukifanya kuwa na Hadhi ya Kituo chenye hadhi ndio maana kinazinduliwa upya eneo jipya. πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/_EQ8nl2LYck?si=1Moz7qy3rO55vFFB
 
Mzeecwa matango pori nimekueleza wapo waliosoma hapo na nawafahamu

Kuhusu mwanza TIA kutoa certificate tu hui ni uongo, degree courses zilikuwepo musa kudogo

Kuhusu IRDP kuwa kilikua na majengo mabaya hiyo sio issue, sababu uzuri wa kitu ni subjective. Issue yako ulisema hakuna vyuo, kitu ambacho ni uongo

NB; usijichoshe kwenda you tube na kuhangaika kugoogle kuleta links sababu huwa sifunguagi link yoyote, pia yote hayo mm nayajua kabla yako. Save your bundle
 
Usinipotezee mda na focus ya mada Kwa upuuzi wako.

Anzisha mada ya kunipinga basi Ili uweke facts zako πŸ˜†πŸ˜†
 
Usinipotezee mda na focus ya mada Kwa upuuzi wako.

Anzisha mada ya kunipinga basi Ili uweke facts zako πŸ˜†πŸ˜†
Mada ikiwa public inakua ya wote hiyo.

Hata wewe ukiona mwingine kaandika humu kuwa hakuna barabara imejengwa mwaka huu lazima utashangaa na kuanza kumpinga sababu ni uongo.
Hatupingi mtu, tunapinga hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…