Jf mnanifurahisha. Mimi nimeandika haya maelezo kweli?????
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Wapo freshers kibao wanasoma first degree acha upotoshaji. Dunia ya Sasa watu hawataki

kupoteza muda wanatumia online and distance learning.
 
Form 4 Failures πŸ˜†πŸ˜†
Wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana na ndio maana unaweza kuwa chawa

Unatoa hoja za uongo kwa sababu ya kujipendekeza. Uchawa umekuwa dhambi ya
jamii. Mtu kama wewe unajivunjia utu na heshima yako kisa uchawa.

Kama unawezo wa kufukiri kweli nimezungumzia form six freshers wewe unaongelea
form four failures, uoni wewe ni mropokaji usiye na data.
 
Hadi leo Ripoti ya mauaji ya Ali Kibao bado, Soka na wenzake bado hawajasema walipo na mafisadi kwa mujibu wa CAG hawajachukuliwa hatua. Hizo zote ni sifa kwa Kiongozi?
 
Kumbe Urais mtamu hivi, mama kanawili kama katoka kuzaliwa Leo, hongera mama kipenzi cha wengi (sio kwa wote) na Mimi nitagombea Urais wa vijana wa hovyo please msiniangushe vijana wote wa hovyo, natanguliza shukrani πŸ™
 
JPM akirudi Leo, hataamini PhD alizonazo Delila,kwa muda wa miaka 3 TU.
 
1. Kwakuwa mwaka 1983 alisoma hapo (pale) hivyo nae ni Alumnae?

2. Kwakuwa Mkuu wa Chuo cha Kutoa PhD Kiholela holela ni Poti wa Kwao Mwambaoni?

3. Kwakuwa Mpambe wake nae ni Alumnae wa Chuo cha Kutoa PhD Kiholela holela?

4. Kwakuwa tunataka nae sasa aanze Kutukumbuka katika Teuzi zake kama afanyavyo kwa Mlimani Chuo?

GENTAMYCINE sasa nipo tayari kabisa kusoma Comments zenu ili nami pia nitafute Chuo cha kunipa PhD nyepesi.

Cc: Lucas Mwashambwa
 
Achana na mavitu ya ajabu ndugu utapoteza uwezo wako acha majinga yapeane
 
Luka Mwashamba ujee hukuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…