Clip Mzungu asemavyo kuhusu Afrika na Kodi. Mwigulu njoo uone


[emoji2][emoji2][emoji2]
Tawi la mitandaoni .
 
Kimei angeondoa kadhia hii huyu mzee ni mbunifu ajabu,sitasahau jinsi alipoitoa CRDB na pahala alipoifikisha mpaka kuwa most respected bank!
 
Wenye dhamana wengi hawana akili ndefu kama hii.
 
Jesus Christ!!! Mbona hili liko wazi na tumekuwa tukilipigia kelele huku kila siku, kwamba haya makodi makubwa na matozo ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya wala urojo wa kule Zanzibar il mkawa hamtuelewi. Halafu kuna kabibi kanakomaa eti kakipata chance ya kukopa nitakoa tena, upuuzi mtupu!!!! Niliweka huu uzi hapo chini, watu wakanipotezea


Hawa mabeberu wametumasa mtegoni, na njia ya kujikwamua ni kuachana na mikopo yao, mariba matupu! Mwishowe tunalazimika kiweka kodi kubwa na kuua biwanda vyote, hizi ni sera za IMF za kutudidimiza na kuhakikisha hatujinasui kwenye huu umasikini!!!

 
Kaongea ukweli mtupu......
Tunajitutuma.na matozo kilipa madeni.

madini na mbuga za wanyama tunazo
Sio kulipa madeni, ni kulipa mariba matupu, Job Ndugai anajua, na mariba matupu!! Deni linabaki pale pale, na hiyo mikopo huwa hata haifiki huku, inapigwa juu kwa juu, ila deni na mariba tunabaki nayo!!
 
Pale wizara ya fedha kuna wasomi na.huwa wanagombania safari kwenda nje na haya wanayasikia lakinj wanayaacha vitabuni.

Kodi ingekuwa ndogo kiasi watu wengi wangejikita kwenye biashara binafsi. Lakimi hapa kila siku zinazaliwa tozo mpya unaambiwa ilikiwepo kwenye sheria lakini ilikuwa haitekelezwi sasa tunaitekeleza

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
 
... kufanya biashara nchi hii ni kujitia wazimu! Biashara ndogo ndogo nyingi zimefungwa sababu ya kodi ambazo ni unrealistic.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mzee kaongea ukweli kumbe kuna muda wanatuonea huruma,,,na kaitaja kabisa Tanzania ,,,,kodi kubwa inaua uchumi,,,ndio mana makampuni makubwa ya marekani wanaenda zao Kenya,,Hii nchi sijui nani kairoga
Mzungu amesema ukweli mtupu lkn kusema Makampuni yanaenda Kenya badala ya Tz si kweli,hizo MNC's zinafanya tax planning za hatari(hapo ndipo utazijua kazi za E&Y, Deloitte n touche,KPMG,PWC etc) mwisho wa siku tax deductions Zinakua nyingi kishenzi(wanafanya Tax avoidance) na Profit wanavyokuja ku-declare inakuja kua ndogo hence na Kodi watakayolipa inakua ndogo au wana-declare loss tu mwanzo mwisho.Mtapambana nao kwny 'unrelivied loss' hapo.

Hayo makodi makubwa mostly wanaokamuliwa Ni Hawa wenye viwanda vidogo/vya Kati,wafanyakazi etc lkn hizo MNC's zinakula Maisha tu.
 
Senator WA US sijui Jimbo gani huyu kaongelea hii kitu muda mrefu Sana ,hii clip ni ya muda Sana .
Kutoboa kwenye hizi nchi ni ndoto . Ni vigumu mtu kuaccumulate mitaji na utajiri let alone hata wawekezaji kuja kuanzisha miradi na uwekezaji wa maaana Kwa nchi kama Tanzania .
Sababu ya high taxes na lundo la tozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…