Clip Mzungu asemavyo kuhusu Afrika na Kodi. Mwigulu njoo uone

Samia hana jipya bwana, wao wanachokijua ni wakae wale vipi nchi na vifaranga vyao ndo maana wanahofia kutoka madarakani.......lakini sio hawa washenzi eti ndo watuletee maendeleo hamna wao wenyewe wakishauriana vitu wakiona vimekuwa kinzani wao kwa wao ni kuanza kupigana mifitina nini mf. Ndugai
 
jiwe hakuwa sahihi popote
 
Siko vizuri katika lugha ya malkia lakini nimemwelewa vizuri. Jamani tusomeshe watoto
Uchumi umeyumba, ajira hakuna. Taifa linazalisha vijana kuliko mazao. Vijana wa kike wanauza miili yao na vijana wa kiume wamekuwa panya road. Tozo kila kona, kodi nyingi kuliko vipato vya watu. Tuliambiwa Tanzania ni ya viwanda. Ila makanisa yana faida kuliko viwanda. Wajane, walioumia mioyo, wagonjwa na walalahoi ndo mtaji wao. Watu hutubu na kurudia dhambi zile zile kutokana na ugumu wa maisha!
 
Mzee kaongea ukweli kumbe kuna muda wanatuonea huruma,,,na kaitaja kabisa Tanzania ,,,,kodi kubwa inaua uchumi,,,ndio mana makampuni makubwa ya marekani wanaenda zao Kenya,,Hii nchi sijui nani kairoga
Lakini hii clip ni ya wayback 2012 huko
 
  Hapo nimetoka kapa. Kwa nini amemwita yule "Senator"? Yule ni Senator kweli au hilo ni jina la utani?.
 
Mbona naskia ulaya kodi ndo kubwa zaidi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu lakini huku ni afadhali mara 1000000 kuliko hizo kodi mnazotozwa huko Tanzania ambazo kwa kiasi kikubwa haziwanufaishi watanzania bali zinawanufaisha tu hao wanaoonekana ni watu wazima lakini kumbe akili hawana, hapa canada kodi nalipa kubwa ila nina uhakika wa bima ya afya na huduma nyingi za kijamii kama elimu bora kwa watoto wangu bila mizengwe yoyote... future ya huku inakupa tabasamu uzeeni kuliko huko Tanzania ambapo kadiri unavyozidi kuwa mtu mzima ndivyo unavyozidi kukunja sura kwa misongo ya mawazo inayosababishwa na ugumu wa maisha, tozo na makodi yasiyokunufaisha wewe wala familia yako iliyopo na ile ijayo. Sirudi Tanzania.
 
Mwipumbu Nchamba 😂😂😂
 
You can never rebuild capital aiseee, Tanzania hauwezi kukuza mtaji ukakua kihalali sababu kodi ni kubwa kwaii namna pekee ya kukuza mtaji ni kukwepesha kodi..jamaa kapigilia msumari 30% corporate tax na 18% VAT ingawa yeye kasema ni 20%...sasa mtu anaewaza kununua V8 ya 400m hawezi kukuelewa hii concept licha ya mtu kujiita ni 1st class economist....
 
Nimesikia amesema kuna taxi bubu Tanzania au hii lugha mweeeee
 
Ni kwa nini wasingewaachia wengine wao wakae pembeni?hata kwenye biashara mwenye bei kubwa ya bidhaa hawezi mzidi mwenye bei ndogo kwa mzunguko, washushe Kodi zinazolipika ili walipaji wawe wengi, kwa sababu hata rushwa zitapungua kwa wakusanya kodi
 
Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie.

Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma

View attachment 2360992
We.
Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie.

Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma

View attachment 2360992

Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie.

Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma

View attachment 2360992
We make mistake,we learn ,we correct each and we move on!
 
Watu weusi tuna laana ya asili
 
Na Huu ndio ukweli mchungu ambao watu wengi hawapendi kuisikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…