Shida ya Hawa viumbe wana mishahara kiduchu iliyojaa madeni kwahiyo kuishi Kwa laki mbili take home yataka moyo wa chuma. Ninavyoongea hivi walimu mitaani wanatembea wanaongea peke Yao nakupiga makopo barabarani kama Mpira maana hawajui kula yao mpaka sasa.
Wamekuwa wakitegemea mshahara tarehe za 21 na 22 ukizidisha hapo wanajazana Kwa mangi kukopa dagaaa, Unga, chumvi na mafuta ya kupikia ya Mia Tatu Sasa maisha gn haya walimu jamani. Ebu jiongezeni hata kutafuta njia mbadala ya kuingiza kipato ona mnavyofedheheka.
Siku za mshahara ebu wanajf piteni pale NMB Songea muone iyo vuu ya foleni ya walimu mstari ni mrefu jamani khaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23], pita NMB mihayo pale tabora mjini utacheka ufe, asa wanajazana kwenye maATM kati siku hizi huduma kiganjani tu pesa unaitoa Kwa simbanking inaingia tigopesa au mpesa, au unaenda Kwa NMB wakala unatoa tu. Utaskia makato ni makubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]