CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

Jitahidi matumizi ya R&L, una hoja usikilizwe
 
Hawa viumbe wanatia aibu sana, unakuta wenyewe ndiyo wamejaza foleni za atm siku wakiambiana salario imetoka. Wakipata salary inaliwa wiki mbili wako bankrupt njaa kali hata kufundisha inakuwa shida. Wa vijijini wamejiongeza wanakata mkaa, wana vimashamba na wake zao wanakaanga vitumbua na maandazi. Wale wa kike wanauza visheti, karanga, kacholi ili kupunguza makali.
 
Mpwayungu village hebu tuambie mbona kuna walimu mijini wana magari na wengine bodaboda na bajaj, wanazipataje ikiwa wana mishahara midogo?
 
Mpwayungu tunakuomba utusamehe sisi walimu ni Vilaza. Tuko chini ya miguu yako.

Tusamehee sisi, tusamehe sisi, tusamehe sisi.

Tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…