hii miradi kwa tanzania ya sasa haiwezekani maana wateja wenyewe hakuna, ba ndio hao wameacha kuja bongo licha ya miaka 20 ya kuvutia wawekezaji, sasa hao makarani wa barclays ndio watakao kuwa wapangaji na wanunuzi wa hizo bidhaa hapo
Shukrani kwa serikali ya awamu ya nne. Stay tuned! Mambo mazuri yanakuja na yataendelea kuja chini ya serikali ya CCM.
Kama hutaki maendeleo wewe utakuwa ni mchawi na ukatafute nchi ya kuishi.
Trust me hapo unafurahia picha tu, hiyo michoro ni mikakati ya kutuibia tu. Kama kweli wanapenda kuendeleza hii nchi, wamalize kwanza mradi wa Kigamboni. Kesho watakuja na mapichapicha mengine ya kupaendeleza Manzase, tutakusanyika hivi hivi kushangaa picha na kusifia. Mafisadi yameshajua sisi tunapenda mipicha, so wataiproduce sana kabla ya utawala huu kuisha ila hakuna mradi utasimama.
Haya maghorofa yakianguka atapona mtu hapo!! nilikuwa Hamburg Ujerumani hivi karibuni nikauliza mbona sijaona majengo marefu kama katika miji mingine ya Ulaya wakaniambia majengo marefu yanapoteza madhari ya mji, kukabiliana na majanga ya moto ni gharama na zaidi ya yote uokoaji dhidi ya maafa ni mgumu sana, Hao Ndio Wajerumani Unaowasikia!!!
Ni mtu mpumbavu tu anayeweza kushangalia maghorofa marefu akidhani ndiyo maendeleo. Ndiyo maana wengi wetu tumechoka na hiki chama kinacholeta maendeleo ya vitu badala ya watu.Shukrani kwa serikali ya awamu ya nne. Stay tuned! Mambo mazuri yanakuja na yataendelea kuja chini ya serikali ya CCM.
Kama hutaki maendeleo wewe utakuwa ni mchawi na ukatafute nchi ya kuishi.
LIKEWISE....I hope mradi utakuwa tayari kabla sijazeeka! According to Tanzanian Standard Kuzeeka si kunaanza 70 Years? Nitawahi aisee, more than 30 years ahead!Nimependa, niseme tu kweli...
Tunaomba mradi sasa tuukague
Ukiipatia vizuri matumizi yake, hiyo lipstick itazalisha mchele, nyama, soda, ma-juicy; nini unga wa uji !!Nni saawa na kununua lipstick ya 15000 wakati watoto hawana hata unga wa uji ndani.
Prioritisation!!!!!
Umesahau south East Asian countries, hawa wako so addicted ingawaje wanaweza ku-justfy! Nchi zao, kama hiyo Singapore, Malaysia, Indonesia ni nchi ndogo sana but highly populated!Mkuu nafikili huu ni utamadumi wa nchi karibu zote za Ulaya - hawapendi kabisa ma SkyScrappers; Merikani ya Kasikazini na Nchi za Mashariki ya mbali specifically Uchina na Singapore ndio wako obsessed na Maghorofa marefu kupindukia.