This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Ni kazi kujuelimisha au ki argue na wewe sababu inaonyesha uelewa wako wa Mambo Ni mdogo.Afu ikishasomwa ndo nini kitatokea?
Wakuu Natanguliza salamu , baada ya kuwasabahi naingia moja kwa moja kwenye hoja .
Jana iliagizwa kwamba ndani ya Makanisa yote na Parokia zote za kanisa Katoliki leo Jumapili , waumini wasomewe Waraka wa Maaskofu wa kupinga DP WORLD kupewa Bandari za Tanganyika .
Naweza kuthibitisha kwamba hawa watu ni Waaminifu sana ! WARAKA HUO UMESOMWA BILA HATA KUPUNGUZA NENO .
View attachment 2722618
Mamlaka ya Roma imenena, mjadala umefungwa.Hayo maneno ya kilatini hapo chini naomba tafsiri yake.
Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar.
Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania nzima wamesomewa waraka huo leo.
Pascal Mayalla unajisikiaje kwa kuikana imani kwa sababu ya vipande 30 vya fedha?
Mama Samia anakwenda kuwaabisha wanafki na machawa wote, kesho asubuhi Rais anapewa brief na DG wa usalama wa Taifa
reaction ya Taifa baada ya waraka wa TEC na Rais anakwenda kulihutubia Taifa, watch n see, lisipotekea hili JF wanipige life ban.
Roma Locuta, Causa Finita Est.
Roma ikiongea, ni Amri na ndio sauti ya mwisho.
Kuhusu faida za mkataba huo naweza kuwa na wasiwasi. Lakini kanisa la katoriki kutoa tamko kuhusu jambo lenye maslahi mapana ya taifa lina nipa wasiwasi zaidi. Vp ikiwa kundi lingine la kiimani na kidini likitoa tamko ambalo pengine likakinzana na tamko la kanisa katoriki, je nchi itakuwa katika hali gani?
Hebu tufikirie kwa mlengo huo. Tamko linalotoka kwa taasisi fulani ya kidini, ina maana ni tamko la wanataasisi hiyo, je ni lini kanisa la katoliki lilifanya white paper process ya kupata maoni ya wakatoliki wote mpaka wafikie hitimisho la kuwa mkataba huo haufai kwa niaba ya kanisa?
Nashauri, tukiwa kama nchi, tusioneshe mfano mbaya kwa kulinyamazia suala hili. Maana hili likifumbiwa macho, watakuja na mambo makubwa zaidi ambayo kama nchi yanaweza kutugawa wananchi kwa misingi ya imani zetu.
Binafsi nasema. "NAPINGA KITENDO CHA KANISA LA KATOLIKI KUTOA TAMKO LINALOPINGA MKATABA KATI YA TANZANIA NA DPW."
WAJUE CHOMBO CHAO NI KWA AJILI YA KUWALEA WAKATOLIKI KIIMANI. HIYO NI TAASISI YA KIROHO, SIYO TAASISI YA HARAKATI. KAMA WANATAKA IWE HIVYO WAENDE KWA KABIDHI WASIHI MKUU , KUBADILISHA USAJILI WAO.
NB: SIUNGI MKONO MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA TAIFA.
Ccm imehusika kuuwa wangapi ukiachana na hawa wajuz akina saa8 na wengineo?RC walihusika kuua watu zaidi ya milioni 50 duniani.
Then what? Acha wajifurahishe ili kuondoa stress i.e wanajipa psychological relief tuNiko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar.
Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania nzima wamesomewa waraka huo leo.
Pascal Mayalla unajisikiaje kwa kuikana imani kwa sababu ya vipande 30 vya fedha?
Mama Samia anakwenda kuwaabisha wanafki na machawa wote, kesho asubuhi Rais anapewa brief na DG wa usalama wa Taifa
reaction ya Taifa baada ya waraka wa TEC na Rais anakwenda kulihutubia Taifa, watch n see, lisipotekea hili JF wanipige life ban.
Roma Locuta, Causa Finita Est.
Upo Tanzania wewe au Kenya Ulimiskia shehe Mwaipopo mbona alijipambanua yupo upande wa Dp world elewa Kanisa Katoliki ni mamlaka kamili je umesali leo je umesikiliza waraka huo mkataba ni Rubish kabisa na kanisa lipo sahihi.
NakaziaSikumsikia, lkn kwa huyo Shehe kutoa maoni yake ni haki yake. Lkn kikundi kidogo kutumia taasisi ya kidini kutoa maoni yao ni jambo lisilokubalika.
waraka huu waendelee kuusoma hati uchaguzi wa mwakani serikali za mitaa na uchaguzi wa 2025 kwenye urais. pia, wawakumbushe waumini wao kwamba wabunge waliowachagua wameshindwa kuwakilisha mawazo yao bungeni wakawakilisha ya kwao binafsi, hivyo 2025 wawe makini wachague watu watakaowasemea wao, sio wale wanaoenda kusemea familia zao na matumbo yao.Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar.
Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania nzima wamesomewa waraka huo leo.
Pascal Mayalla unajisikiaje kwa kuikana imani kwa sababu ya vipande 30 vya fedha?
Mama Samia anakwenda kuwaabisha wanafki na machawa wote, kesho asubuhi Rais anapewa brief na DG wa usalama wa Taifa
reaction ya Taifa baada ya waraka wa TEC na Rais anakwenda kulihutubia Taifa, watch n see, lisipotekea hili JF wanipige life ban.
Roma Locuta, Causa Finita Est.
walishajipanga, waliambiwa kuhusu hili na watu wao, kwani hukusikia kikao cha baraza la mawaziri sambamba na hii. Ndio sababu ya kuachiwa akina Slaa na wenzake. Kifuatacho sijui walikubaliana nn tusubiri ( ila nahisi ni kukomaa shingo kimya kimya)Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar.
Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania nzima wamesomewa waraka huo leo.
Pascal Mayalla unajisikiaje kwa kuikana imani kwa sababu ya vipande 30 vya fedha?
Mama Samia anakwenda kuwaabisha wanafki na machawa wote, kesho asubuhi Rais anapewa brief na DG wa usalama wa Taifa
reaction ya Taifa baada ya waraka wa TEC na Rais anakwenda kulihutubia Taifa, watch n see, lisipotekea hili JF wanipige life ban.
Roma Locuta, Causa Finita Est.
ni sawa na kikundi kidogo kilivyotuletea huu mkataba haikubariki, usisahau hili.Sikumsikia, lkn kwa huyo Shehe kutoa maoni yake ni haki yake. Lkn kikundi kidogo kutumia taasisi ya kidini kutoa maoni yao ni jambo lisilokubalika.
Kitenge na Zembwela nao hawajatoa waraka 😂😂😂Simba na Yanga hawatoi waraka?
Daimondi, hamonaizi na alikiba na hata chinowanaman hawatoi waraka?
Ukisoma kitabu cha Dkt Slaa kiltwacho Nyuma ya Pazia, utagundua mauchafu na madudu mengi sana ya ndani ya baraza la maaskofu.Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar.