Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya asanteni kwa taarifaSisi tumetoa taarifa tu mkuu , hatukusema la kubadilisha chochote
Unaabudu nini ng'ombe au fisi?Mi sio mwislamu wala muabudu sanamu
Namuabudu mamayoUnaabudu nini ng'ombe au fisi?
Mi namuabudu mamayoKwahiyo wewe unaabdu wanadamu?
Kwahiyo umelaaniwa
Yer 17:5
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Ndio nimekwambia kuwa umelaaniwa.Mi namuabudu mamayo
Sawa papaNdio nimekwambia kuwa umelaaniwa.
Maana unamtegemea mwandamu.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Laana ya Mungu haina tiba
Basi tulia mwanangu. Wewe nakujua ninakupiga vilivyo kwenye topic yetu pendwa. Wewe bado mchanga sana kwanguSawa papa
Hakuna audio ..hiyo picha hapo anaweza akawa shemasi huyo anasoma taarifa ya sadaka.Wakuu Natanguliza salamu , baada ya kuwasabahi naingia moja kwa moja kwenye hoja .
Jana iliagizwa kwamba ndani ya Makanisa yote na Parokia zote za kanisa Katoliki leo Jumapili , waumini wasomewe Waraka wa Maaskofu wa kupinga DP WORLD kupewa Bandari za Tanganyika .
Naweza kuthibitisha kwamba hawa watu ni Waaminifu sana ! WARAKA HUO UMESOMWA BILA HATA KUPUNGUZA NENO .
View attachment 2722618
Km huzijui siasa utaona hakitabadilika kitu. Ila hili swala Lina matokeo chanya na hasi makubwa sana. Ni tamko la hatari pia.Haitabadilisha kitu
Uwe una balansi habari ueleze na ambao wanachinjwa kila siku kule Arabuni kwa majambia.RC walihusika kuua watu zaidi ya milioni 50 duniani.
Ulikula ngapi ktk mgawo mkuu. Mtazitapika !Wewe ni mnafiki wa Ngyeke... Na ndo maana Upinzani utaendelea kuwa upinzani daima
Sawa muabudu sanamuBasi tulia mwanangu. Wewe nakujua ninakupiga vilivyo kwenye topic yetu pendwa. Wewe bado mchanga sana kwangu
Enjoy
View attachment 2722732
Afu ikishasomwa ndo nini kitatokea?Km huzijui siasa utaona hakitabadilika kitu. Ila hili swala Lina matokeo chanya na hasi makubwa sana. Ni tamko la hatari pia.
Hili Ni km bomu.
Mpaka ktk ibada za vijana na watoto waraka umesomwa. Ufahamu umekuwa mkubwa.
Mi hao hawanihusu maana siko naoUwe una balansi habari ueleze na ambao wanachinjwa kila siku kule Arabuni kwa majambia.
Ndo zinamtunza mamayoUlikula ngapi ktk mgawo mkuu. Mtazitapika !
Kuanza kuwatukania watu wazazi wao haikuweki kuwa na akili, bali ni utoto na mihemko ya kipumbavu. Ukiendelea tutakuripoti kwa wahusika upigwe ban.Ndo zinamtunza mamayo
Wachaa weee😄😄😄aiseeee?!!Jidanganye hii , first move Bado Kuna plan nyingine hiyo ni hatari zaidi
Kiufupi , Samia 2025 hatuko naye kama Mgombea
Imeshapitishwa Sasa ni utekelezaji tu