Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

Namuabudu mamayo
Kwahiyo wewe unaabdu wanadamu?
Kwahiyo umelaaniwa

Yer 17:5​

BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
 
Kwahiyo wewe unaabdu wanadamu?
Kwahiyo umelaaniwa

Yer 17:5​

BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Mi namuabudu mamayo
 
Wakuu Natanguliza salamu , baada ya kuwasabahi naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Jana iliagizwa kwamba ndani ya Makanisa yote na Parokia zote za kanisa Katoliki leo Jumapili , waumini wasomewe Waraka wa Maaskofu wa kupinga DP WORLD kupewa Bandari za Tanganyika .

Naweza kuthibitisha kwamba hawa watu ni Waaminifu sana ! WARAKA HUO UMESOMWA BILA HATA KUPUNGUZA NENO .

View attachment 2722618
Hakuna audio ..hiyo picha hapo anaweza akawa shemasi huyo anasoma taarifa ya sadaka.
 
Haitabadilisha kitu
Km huzijui siasa utaona hakitabadilika kitu. Ila hili swala Lina matokeo chanya na hasi makubwa sana. Ni tamko la hatari pia.

Hili Ni km bomu.

Mpaka ktk ibada za vijana na watoto waraka umesomwa. Ufahamu umekuwa mkubwa.
 
Afu ikishasomwa ndo nini kitatokea?
 
Sawa muabudu sanamu
Mwamba hawa hapa wanakufanya uhare

1692526692732.png

1692526744640.png
 
Jidanganye hii , first move Bado Kuna plan nyingine hiyo ni hatari zaidi

Kiufupi , Samia 2025 hatuko naye kama Mgombea

Imeshapitishwa Sasa ni utekelezaji tu
Wachaa weee😄😄😄aiseeee?!!
 
Back
Top Bottom