Imani yangu
1. Corona haina dawa hivyo hata nikihofu ni kazi bure.
2. Naamini ni mafua yaliopanda hadhi kidogo na watu weupe ndo wanateseka zaidi.
3. Kama huna magonjwa mengine yaliodhoofisha kinga ya mwili unapona tu bila shaka.
4. Najiona kama mtu ambaye nishaugua Corona nikapona hivyo sina hofu hata chembe.
Nashangaa kuona watu wanajifunika vitamba na kugombea sabuni, kwangu nitakuwa wa mwisho kufanya hivyo.
5. Corona itapita kama rift valley na kimeta, mpaka sasa ishapoteza muelekeo Afrika.
Ukiona unaumwa na malaria na UTI huna basi wewe endelea na kazi, kula vizuri, kunywa maji ya kutosha punzisha mwili wako.
Relax, kifo kipo tu. Utajipa mawazo ya Corona mwisho wa siku ugongwe na bodaboda.