Hello JF,
Kwanza mosi, naomba niwe mkweli, sijafuatilia sana huu ugonjwa kiundani, ila ni janga kubwa.
Na kila mmoja yuko concerned. Hasa ukifikiria umeshaingia tayari Tanzania.
Tukifikiria mifumo yetu ya usafiri: Mwendo kasi, daladala, kila mtu anasisimuka itakuwaje akifikiria hizo scenario.
Mimi pia nimefikiria. Nikaona tusali tu!.lol
Lakini kijuu juu hatuwezi ku-control rate ya wanaoambukizwa.
Na number ya walioambukizwa inaweza isijejulikana for a certain, vifaa vya kupima ni vichache (Dar tu kwa sasa ndio kipo) lakini tunaweza kupunguza death toll.
Huu ugonjwa wanaokufa ni watu wenye pre-existing conditions na wenye low immunity.
Hivyo kuli approach libwana in different angle is to BOOST IMMUNITY. Hasa ya wale VULNERABLE GROUPS (wazee na wagonjwa mfano wa kusukari).
Mimi naona ipigwe kampeni, BECKY 'S IMMUNITY BOOST CAMPAIGN 🤣 🤣 🤣 Watu wale zaidi vyakula vinavyo boost immunity, kama garlic (vitunguu swaumu) na machungwa etc (Hapa madaktari mtashauri watu wale nini, nawakaribisha madaktari kwa maoni)
Kuna vile vidonge pia vya ku boost immunity, sijui kama uko vipo? kama vipo itapendeza labda visiwekewe kodi, viwe cheap watu wanywe.
Hatuwezi kuzuia maambukizi ya huu ugonjwa ila TUNAWEZA kuu FIGHT tukiupata...yesssssssssssssss ☑☑☑☑☑☑☑🤛🤛🤛