#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
"]Serikali imewataka wakazi wa Moshi kukimbilia magari ya wagonjwa yaendayo Mawenzi kwa lengo la kuwashuhudia wagonjwa wa Corona"



Bwashe tuliza wenge,halafu uwache kiherehere..soma tena ulichopost





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu

Hili ndio limenitokea leo huyu Mzee Kiswaga nafahamiana naye miaka kama saba hivi

Leo kafika shambani kwangu hapa iIiwili tumeongea mengi na kushauriana juu ya huu ugonjwa wa Corona

Sasa kasema hilo suala ni harufu ya gongo inatibu maana virusi vikisikia tu vinakimbia mbali amenieleza niitafute nyingine niwe nakunywa kila asubuhi kabla sijatoka na atanitafutia kama mzinga hivi, hivi hii imekaaje au ni muongo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hahahaha corona imefika kwenye nchi ambayo kila mtu ni daktari mbona tutaona mengi
 
Arovera,
Bora kwenu mna virusi vya koroma, huku kwetu tuna virusi vya corona ambao hata umeze tindikali bado wanakula maisha.
 
Wengine kuanzia wadogo hatupatani na vumbi au harufu kali za marashi, hali iliyosababisha kushikwa na mafua kila wakati.

Nashangaa kwa sasa ukipiga hata chafya watu wanakutenga
 
Mimi nina mafua maisha yangu yote, sikumbuki lini nimewahi kukaa bila kero ya mafua, kwa sasa najizuia hata chafya...
 
kweli asee!
tunanyanyapaliwa alafu kiaina vimoyo vinadundia kulia uku tunajiuliza vimaswali, ndo yenyew nini?
 
NIMESHUHUDIA LEO HII KITU, ILIMJERUHI MTU SEHEMU FLANI TUKIWA KWENYE USAFIRI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom