Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua wananchi wa Moshi wana tatizo gani maana shule ziko za kutosha!Ndiyo maana hata siku walikimbilia kukanyaga eti mafuta ya upako.
Hiyo ni elimu ya juu, lkn ile tunayo maanisha ilielekeza hivyo.Haviishi ni kuwa mwili wako unaweka condition ya kuvifanya either visiongezeke kusababisha madhari au visifanye kazi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina mafua maisha yangu yote, sikumbuki lini nimewahi kukaa bila kero ya mafua, kwa sasa najizuia hata chafya...
kweli asee!
tunanyanyapaliwa alafu kiaina vimoyo vinadundia kulia uku tunajiuliza vimaswali, ndo yenyew nini?
NIMESHUHUDIA LEO HII KITU, ILIMJERUHI MTU SEHEMU FLANI TUKIWA KWENYE USAFIRI.