#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Mkuu endelea kutafuna tangawizi kila wakati,lakini pia ingekuwa vizuri ungepata mlonge yaani unga wa majani ya mlonge unatumia kijiko kimoja kwenye maji moto kutwa Mara tatu utapata nafuu zaidi,pole sana kwa hiyo khali
nimetokewa na iyo hari over two weeks now, ila nilichoamua kufanya leo ni kujifusha tu ndio naona niko poa sasa ila tatizo limebaki kooni yaani kama nimepaliwa na mate ivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karibuni
 

Attachments

  • IMG-20200430-WA0032.jpg
    IMG-20200430-WA0032.jpg
    38.7 KB · Views: 1
Tunaambiwa Coronavirus baada ya kuingia kwa binadamu wanakaa kooni kwa mda wa siku nne baada ya hapo ndio wanashuka kwenda kwenye mapafu.

Baadhi ya watu ambao walishakumbwa na janga hili kabla yetu walikua wakitumia njia ya kujifukiza na kunywa maji ya moto yenye mchanganyiko wa limao na vitu vingine kama Tangawizi na kitunguu swaum au na chumvi ili kuweza kukabiliana na virus wasiweze kufika kwenye mapafu.

Kwa sasa kuna baadhi ya watu wanapinga kua njia ya kujifukiza sio salama, Je watu hawa wanapendekeza njia zipi zitumike kusaidia mtu ambae anakua kwenye ile stage ya mwanzo ya maambukizi?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ngoja wataalam waje watuongezee maarifa
 
Mkuu katika nyakati hizi ni bora ujaribu hizi mambo ingawa mimi nimeikubali ya kunywa mchanganyiko maji ya moto, tangawizi na limao.

Hii inasafisha sana koo na tumbo, nimeitumia muda mrefu kabla ya janga la COVID-19, wateja wa mghahawa uliokuwa unaitwa Mokha City pale Dar City Center Samora avenue wanaijua hii mixture unapewa na asali mbichi wenyewe hapo waliita hii kitu Hot Stepper.
 
Kwani hao wadudu wa corona ni wakubwa kama punje za mahindi kuwa watashuka tumboni wakisukumwa na maji.
 
Kwa Picha hizo Basi Magufuli yupo sahihi 💯 maana kwa life staili zetu Wabongo hatuwezi chomoka.
 
Hii kirusi imekuja kuangamiza watu wote duniani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom