Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia


Jamaa ameshakupoteza huyo,

yaani Binamu atengeneze gari halafu hiyo gari iwe na uwezo wa kumjua huyo binadamu? Impossible
 
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?

Hata wanaokwenda Hijja?

Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Mungu atafanya kwa wakati wake kazi yetu sisi ni kumuomba sio KUMLAZIMISHA. Waliopo Saudia ni watu sio miungu ni lazima wachukue tahadahari. Hata Yesu katika hali ya ubinadamu aliomba aepushwe na kile kikombe cha mateso, sembuse Wasaudia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kwa wakati huu kawapotezea?

Imekuewaje Mungu mwenye uwezo wote kaumba ulimwengu ambao magonjwa yanawezekana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?

Hata wanaokwenda Hijja?

Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Point yako hapo wataka wasizuiwe waende tuh kulingana ni kua wanaenda fanya ibada..aki point yako ni zaifu...huezi kulindwa bila kujilinda yaani upewe akili ya kujikinga afu ufanye kusudi kuruhusu ugonjwa ukitegemea kuepushwa
 
Point yako hapo wataka wasizuiwe waende tuh kulingana ni kua wanaenda fanya ibada..aki point yako ni zaifu...huezi kulindwa bila kujilinda yaani upewe akili ya kujikinga afu ufanye kusudi kuruhusu ugonjwa ukitegemea kuepushwa
Kwanza kabisa, point yangu hujaielewa.

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tahazari ni muhimu..askari wapo wanaokulinda ila kwann huachi mlango wazi ukiwa waondoka..
 
Tc
Kwa hiyo kwa wakati huu kawapotezea?

Imekuewaje Mungu mwenye uwezo wote kaumba ulimwengu ambao magonjwa yanawezekana?

Sent using Jamii Forums mobile app
we mamas
Kwa hiyo kwa wakati huu kawapotezea?

Imekuewaje Mungu mwenye uwezo wote kaumba ulimwengu ambao magonjwa yanawezekana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Magonjwa lazima yawepo ili binadamu wafe bila watu kufa hii dunia ingekuaje saiv..rejea kwenye issue za eco system
 
Kuonesha jambo kwa njia isiyoacha shaka yoyote.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mantiki hiyo, uthibitisho siyo objective kwamba kinatambulika na milango ya fahamu bali kinatambulika kwa akili.

Kuthibitisha Mungu yupo kunatambulika kwa akili ambayo inayobadili mazingira ya kuhusu jambo au kitu na kuyasafirisha kwenye udhahanifu unaokubalika na akili. Kwa hiyo, udhahanifu wa ithibati unafungamana na akili.

Mungu yupo lakini ukitumia akili.
 
Jamaa ameshakupoteza huyo,

yaani Binamu atengeneze gari halafu hiyo gari iwe na uwezo wa kumjua huyo binadamu? Impossible
Unamaanisha nini unaposema kanipoteza, aliweka kitabu nikakisoma kuona nini kilichomo.

Mimi sio mtoto mdogo ni mtu mzima najitambua.

Unapofananisha uumbaji wa Mungu na binaadamu kutengeneza gari unakosea sana mkuu naishia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama ni hivyo mbona akati ugonjwa unalipuka china mlisema ni adhabu ya allah kwa china??? Aseee yaani kwa ile mitazamo waislmau mlionekana ni wapuuzi sana, ila naona saizi mmesha anza kubadilisha misimamo.
 
kwa namna yoyote ile, yeye ni muweza wa yote na ujuzi wote.
Mtu kuacha kufanya ibada yake ya hijja kwa kuhofia Corona ni kiashiria kwamba Mungu kashindwa kuzuia Corona ili waja wake wamuabudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaijuaje haki kama usingeliijua batili? Usamehevu ama huruma itatokeaje ikiwa hakuna lililotendwa baya au ufisadi? Unayohoji ungeyajuaje kama kusingelikuwa na upande B wake? Uwepo wa unayohoji yanahitajika ili kujua uzuri upoje!

Binadamu hawezi akaijua hekima ya chanya vyema ikiwa hajapitia hasi. Vilevile hatutoijua hekima ya lililotokea ikiwa kama hatutojifunza.

Inakubidi ujue kwa angalau falsafa ya Mungu kwenye huu ulimwengu ipoje. Maisha ya huu ulimwengu wote ukiyaangalia yamezungukwa na hiyo falsafa ukiwa ni mwenye kutafakari chanya.
 
Poor Argument.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…