MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
mimi ni mstaafu natumia AZANIA BANK haina makandokandoWaajiriwa wa serikali na wastaafu kwa nini wanalazimishwa kutumia NMB au CRBT. KWANINI? KWANINI WASIRUHUSIWE KUCHAGUA BENKI WAZIPENDAZO???
Azania Bank wako uzuri Jabir Kasanga (Director of Operations) former classmate wangu, ameiweka sawa.mimi ni mstaafu natumia AZANIA BANK haina makandokando
Kilofanyika ni fraud ya highest level.Hii shida itakua na uhusiano mkubwa sana na zile habari za mabilioni ya watu.....hackers wamezitamani au wenye mabilioni wenyewe wametafuta namna ya kuhamisha pesa zao.
Hakuna mtu anayelazimishwa kutumia bank , kila mtu anatumia aipendayoWaajiriwa wa serikali na wastaafu kwa nini wanalazimishwa kutumia NMB au CRBT. KWANINI? KWANINI WASIRUHUSIWE KUCHAGUA BENKI WAZIPENDAZO???
Mara ngapi wamekuja kutunanga humu wakisema mwaka huu wamepata faida kadhaa ambayo ni mabilioniMmh 3bn ni pesa ya madafu kwa CRDB mkuu get serious huo ni karibia mshahara wa watumishi karibia wilaya nzima za vvijijini
Wanatengeneza Ukwasi..Waajiriwa wa serikali na wastaafu kwa nini wanalazimishwa kutumia NMB au CRBT. KWANINI? KWANINI WASIRUHUSIWE KUCHAGUA BENKI WAZIPENDAZO???
Sijabeza loss. Bank huko hata afu 10 tu ukiiba ni issue. Hapa tunachoangalia magnitude ya tatizo lililopo kama kweli moja ya chanzo ni hizo 3bn loss.Hahahaha annual net profit 600bn kwa uchumi wa nchi gani mkuu? Kuna matawi y crdb hata kutengeneza faida ya 1bn kwa mwaka inashindwa ndo uje ubeze 3bn loss
Hiyo ni scandal na tuombe yasije kutokea ya Meridian Biao Bank.Huu ubia wa CRDB na CCM na TAMISEMI ya Mchengerwa tangu mwanzo nilikuwa naitilia mashaka. Lakini upigaji umekuwa ukiendelea kitambo na hivi karibuni kupita Lipa namba mtandaoni.... Hii hata wajitetee vipi ni njia ya upigaji.
Hakuna hicho kitu usilishe watu matango pori, hiyo ilikuwa ni 90's na early 2000 lkn ss unaeza opt mshahara wako upite bank yoyote.Waajiriwa wa serikali na wastaafu kwa nini wanalazimishwa kutumia NMB au CRBT
Hii ni aifone na unatumia waifai.....enewei poleni siaradibii, aitii wa saiba sekyurti wenu watakuwa walikuwa wamerilaksi wakati kuna watu wana elimu hawana kazi!!!Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo
View attachment 3471585
Britanicca
Mkuu, Tanzania ni nchi ambayo Raia wake wanapenda kusikia habari mbaya mbaya na speculations tu bila kuziverfy.. hivi watu wahack benki halafu wachukue TZS Bilion 3 tu? Hao watu watakuwa stupid and not serious..Inawezekana vip watu ku-hack bank na kubeba 3b tu?..
Kuhack sio process ya siku moja...inahusisha watu wengi na pesa pia....mifumo ya bank inalipiwa kutoka nje na inahostiwa huko huko..."mawazo yangu"
Ukweli utafikiwa tu..
Kwani NMB pia ukiwa na VPN - Hauwezi kufungua mobile banking? Why iwe CRDB tu wameibiwa?Kuna mtu aliniambia kilichofanya wapigwe ni baada ya watanzania wengi kutumia VPN siku za karibuni huku wanatumia app ya CRDB kwenye simu,wahuni wakatumia mwanya huo kuhack..
Nafikiri sasa hivi wafanye ukiwasha VPN usiweze kufungua Apps za Bank ,kama ilivyo Rooted phones
🤣🤣🤣🤣Babu unataka kusemaje??Mwizi anaibiwa toka lini?wameiba wenyewe.
Majanga ni kwa wateja.
Mkuu mimi naamini kuna wizi umekuwa unaendelea kimya kimya. Nina account ya miaka mingi CRDB ambayo naweka tu kutoa ni nadra sana, tangu mwaka juzi pesa zimekuwa zikipungua bila kuwa na sababu.Yupo sahihi, Ni hela kidogo kwao ukilinganisha na faida ambayo huwa wanaipata kwa mwaka. Issue ni kuziba mianya ya hizo fraud kama zipo kweli.
Mimi nimekuwa nikiongea na watu wa crdb kinachoonekana baada yq kumove kwenda kwenye mfumo mpya ulioanza kazi jumatatu ya wiki hii kumekuwa na mapungufu kadhaa ambayo wanayafanyia kazi, mojawapo ni pale unapoweka au kutransfer fedha kwenda acc yako ya crdb simbanking kutokuonesha salio lakini ukimpigia mtu wa ndani anakusomea salio sahihi. Pamoja na changamoto nyingine.
Unapobadilisha mfumo huwezi kukosa mapungufu sema wanatakiwa kuyafanyia kazi mapema na pia wanatakiwa wawaeleze wateja kinachoendelea, kukaa kimya ndio kunafanya watu wanaspeculate na wengine wanaamini wanayoambiwa na wanahama
THE NUMBERS ARE THE MONEYHata kama wameiba au kuhack lakini kilichoibwa ni Namba Cash si imebaki?
Sioni tatizo labda wataalam mtueleweshe