Ni ushirikiano kati ya hackers na Insider threat (wafanyakai wa benki).Mkuu mimi naamini kuna wizi umekuwa unaendelea kimya kimya. Nina account ya miaka mingi CRDB ambayo naweka tu kutoa ni nadra sana, tangu mwaka juzi pesa zimekuwa zikipungua bila kuwa na sababu.
Mlipuko wa sasa naona umeanza na Lipa mtandaoni ya hivi karibuni ambayo naamini hackers au wafanyakazi wa CRDB watakuwa wanahusika.
Is it possible?Kuna mtu aliniambia kilichofanya wapigwe ni baada ya watanzania wengi kutumia VPN siku za karibuni huku wanatumia app ya CRDB kwenye simu,wahuni wakatumia mwanya huo kuhack..
Nafikiri sasa hivi wafanye ukiwasha VPN usiweze kufungua Apps za Bank ,kama ilivyo Rooted phones
Kubadili software mpya peke yake, sio suluhisho la kudumu, kwa sababu hata software mpya zinahackiwaWalikua wapi siku zote kubadili software mpya
Mi nimepigwa block kwenye acc yangu,LP
🤣🤣🤣🤣Babu unataka kusemaje??
ÄSema Hawa jamaa wezi Sana!
Nadhani jamaa hajajua namna books zinakua balanced, short moja inaharibi ecosystem nzima ya mahesabu.Kijana hayo manamba ndo makalatasi yenyewe, kiufupi huwa wanapeleka manamba benki kuu wanapewa makalatasi mapya kutoka Uswizi then wanatuletea sisi, sasa ukiibiwa hayo manamba ni sawa na kupoteza neno siri la akaunt ya M-Pesa...
Sure...alafu hacking ni kama emergency action....tungeona tu mtandao upo down...Mkuu, Tanzania ni nchi ambayo Raia wake wanapenda kusikia habari mbaya mbaya na speculations tu bila kuziverfy.. hivi watu wahack benki halafu wachukue TZS Bilion 3 tu? Hao watu watakuwa stupid and not serious..
kuhack mifumo ya benk ambayo sometimes inaingiliana na mifumk ya BOT sio investment ya kitoto - ukihack ukaiba TZS 3 B basi hauna faida ya kufanya kazi hiyo..
Ninadhani kumigrate kwenda mfumo mpya kumeta disruptions kidogo na mismatch ya numbers. Kabla ya kutangaza watamigrate mbona huu wizi haukuwa speculated.. kama wangehama na mfumo ukakaa sawa hata kusingekuwa na hizi speculations...
Mifumo ya bank sio rahisi kiasi hicho...hata mkurugenzi hawez fanya kitu hikiZimechotwa na mtu sio kwamba wamehakiwa kuna mtu kaingia kachota kiasi anachotaka na hawana cha kumfanya kesho anaenda kununua Gari lingine la mabillion awalingishie masikini wanaolipa kodi na wanaoweka pesa zao wanazodunduliza kwenye vibubu bank
VPN hili ifanye kazi lazima ichukue data zako zote, logs, browsing history, DNS queries,Data trafficking,logging details,IP addresses,location,device information, content traffic,..kibaya sasa free VPN 100% ambazo zipo Playstore or App store zinatengeneza hela kwa kuuza data za watumiaji,wanao nunua ndio watajua watatumiaje data hizo...Is it possible?
Mifumo ya Bank ipi usiseme bank tu malizia na jina la bank kamiliMifumo ya bank sio rahisi kiasi hicho...hata mkurugenzi hawez fanya kitu hiki
YesIs it possible?
Usikute ni wale hackers waliohack mtandao wa X, walionja asali, sasa wamechonga mzinga kabisaHii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo
View attachment 3471585
Britanicca
Asipo elewa, tatizo litakua cyo yeye, ni ubush alionao...umemweleza vizuri sana; tena ukampa na mfano halisia kabisa unaomgonga utosini mwake.
Asipo kuelewa, atakuwa siyo wa kawaida huyo 'Dokta'; pamoja na kwamba ni wa 'Bush'!
Swali lako umeliuliza kivingine kwa kukosea maneno fulani (hizo namba ndio pesa yenyewe) ingawa upo sawa kwenye premise...; Kwamba kwenye hii mifumo lazima iache money trail kwamba lazima uki follow the money ufike sehemu ujue nani alichukua (ingawa hapo unaweza ukakuta yule aliyechukua kabebeshwa mzigo hakujua au akaunti ilifunguliwa kimagushi na huyo hayupo au aliyekwenda kutoa ni mtu ambaye identity yake imeibiwa au alishakufa) lakini all in all lazima atapatikana mbuzi wa kafara wa either kubebeshwa mzigo sio wake au kwa uzembe wake aliruhusu mwanya wa kufanyika ambayo hayakutakiwa kufanyika... Na huko tunapoelekea mfumo wa Block Chain itakuwa vigumu sana hata kuweza kubadilisha records zikishafanyika (yaani lazima utaacha tell, tell signsHata kama wameiba au kuhack lakini kilichoibwa ni Namba Cash si imebaki?
Sioni tatizo labda wataalam mtueleweshe
B3 kwa benki kubwa kama crdb n pesa ndogo sanambona wameiba pesa kidogo sana, ukilinganisha na usumbufu uliotekea , wanazidiwa na mtoto wa boss alitoa dole la kati
Pole Sana mi niliwatelekezea account!Mi nimepigwa block kwenye acc yangu,
siwezi kufanya miamala
sina hamu shemeji ?🥲😅😅
Salama kabiwa wengi hawajui hili...Ni kweli. Fedha chini ya kitanda haina makato.