Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Amecheza boli kubwa sana wacha apumzike tu mkuu wachezaji wanaweza kupasha na wasiingie kocha anakua kichwa cha moto anawasahau walio benchi sema yeye anataka kuiendesha timu kisa kaifanyia makubwa hiyo sio sawa..
Hapana kuna angle ambayo critics hamuitazami na hamuhanhaiki kuijadili.

Ronaldo alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kustaafu National team.

Lakini maamuzi hayo yalikuja kubadilishwa sio kwa matakwa yake.

Hao watu mnawajua ni nani na wana influence gani na kwanini kipindi hicho hawakuona haya madhaifu ambayo nyinyi haters mnasema anayo?

Kwanini hili hamtaki kulijadili?
 
Messi tokea aachane na barcelona hakuna sehemu aliyoweza kuonyesha uwezo wake hata robo
Na hata kule ukiachana na corruption za hapa na pale bado kwa asilimia kubwa alikuwa lifted na mastar waliokuwa wanamzunguka.

Messi hajafanya kitu chochote kigeni kwenye timu yake ya Taifa.

Kabla ya Messi, Argentina ilikuwa imeshinda kombe la dunia.

Kabla ya Messi, Argentina ilikuwa imechukua Copa America.

Ndio maana hata huko Argentina wanamtaja Maradona kuwa ndio GOAT wao kuliko Messi.

Lakini Ureno kabla ya Ronaldo haikuwa kushiriki kombe la dunia.

Haikuwahi kuchukua UEFA national League, wala Uero.

Ni baada ya Ronaldo ndio hayo yote yamekuja kuwezekana.

Then mapimbi wachache wanakuja kusema Ronaldo ni mchezaji mbovu sijui nini, aisee.
 
Ureno nimewaomba goli 2 peke yao kwenye code ya wakubwa kabla ya hii taarifa kutoka! Ama mimi kuiona kwa kuchelewa!

Sasa wewe Ronaddo umeondoka kambini hela yangu nitaipataje? Mikeka yetu ilikutegemea wewe mkuu
 
Daah wewe mzee kusema CR kawa mzee mpira umekwisha ni vita mpaka unatuita haters wake yule ashafanikiwa kuwa haters wa CR si kutafuta njaa tu mtu anaweza kushinda baharini mwezi mzima na watu wanakimbizana kwa kila huduma harafu niwe na hate mafanikio yapi kwake.
 
Goti wa Scars kocha kumwambia afanye warm up ni kwa faida yake.

Na uzee ule nje baridi anaweza kupata shida ya kiafya kutokana na baridi kali.

Kocha kwa kulijua ilo ndio ameamua kumuokoa kwa kumfanyisha warm up.
Dhereu
 
Watu humu wanaropoka sana,Kuna mmoja alisema eti Ronaldo kazeeka
hana mchango wowote.
Nikamwambia achukue anayemwona kijana pale ureno aweke statistics za klabu na national team za msimu uliopita tulinganishe na za Ronaldo,jamaa Akala kona
Vichaa siku hizi ni wengi sana Mkuu, ile sifa ya kichaa kutembea uchi iliyokuwa ikiwatambulisha zamani siku hizi haifanyi kazi kabisa.

Vichaa wa siku hizi wanavaa vizuri, wanapendeza hawapitwi na fashion. Na simu janja wanamiliki.

Hawa ndio vichaa wa Genz.

Kama ukiwa unatumia kigezo cha mtu kuvaa nguo kama kipimo cha kujua sio chizi aisee utakuwa unapoteza muda.
 
Kwahyo ronaldo asistaafu acheze Hadi akiwa na miaka 70 kwa sababu hiyo?
Hadi akiwa na miaka 35 mliwahi kusema astaafu.

Hakuna kigezo cha umri ambacho kiliwahi kuwa satisfy kutotamani Ronaldo astaafu.
 
Ureno nimewaomba goli 2 peke yao kwenye code ya wakubwa kabla ya hii taarifa kutoka! Ama mimi kuiona kwa kuchelewa!

Sasa wewe Ronaddo umeondoka kambini hela yangu nitaipataje? Mikeka yetu ilikutegemea wewe mkuu
Cashout mapema utanikumbuka.

Lakini kama uli stake kwenye kampuni za warusi basi kubali yote tu.
 
Najua hii mijadala inavyokuwa.

Nimekuonesha mazingira ya kwanini Ronaldo hakuchukua maamuzi ya kustaafu licha ya kuwa na mikakati hiyo.

Again, hujataja kufokasi kwenye hilo kwasababu linaweza kwenda kinyume na narrative zako.

Sasa umeenda kwenye factor ya umri.

Namimi nakubaliana kabisa na wewe kuwa umri wake umeenda. Lakini hoja ni je ndivyo inavyochukuliwa kwa wachezaji wengine wanapofikia umri kama wake?

Ni kama umri wa Ronaldo tu ndio unaoenda ila wachezaji wengine umri wao uko pale pale.

Miaka miwili nyuma Ronaldo alikuwa na umri ambao Messi yuko nao sasa.

Story zilizokuwa zinazungumzwa ni kwamba Ronaldo umri umeenda astaafu mpira.

Lakini saizi Messi akiwa na umri ule ule ambao Ronaldo alikuwa akishinikizwa kustaafu, hatusikii watu wakimshinikiza kustaafu.

Hii ni bias ambayo watu wengi huitumia.
 
Hadi akiwa na miaka 35 mliwahi kusema astaafu.

Hakuna kigezo cha umri ambacho kiliwahi kuwa satisfy kutotamani Ronaldo astaafu.
Hana mchango wowote kwasasa, umri umeenda, NAKUHAKIKISHIA HATA AL NASSR ATAFUKUZWA PIA MAANA HATAKI KUKUBALI UKWELI
 
Huyu jamaa achukuliwe na mashabiki wa real madrid na maniyuuu kwa msimuu huenda akaeleza hisia wanazopitia timu yao inapopoteza
Hata Barcelona wanaweza kumuhitaji pia kuelezea frustrations zao kwenye UCL
 
He better left the soldiers fight with their calmness without stupid pressure from a man who always puts his ego before anything else.

Hivi kila kitu ni kumridhirisha tu Ronaldo basi asiporidhika tu Kosa duh. I'm asking if the team wouldn't win the match against Norway would he mind that much? Si ndo kwanza angefurahia tu kuona bora hajapangwa Sasa shida ni kuona ureno imeshinda mechi muhimu Bila uwepo wake tatizo ndio hapo tu.

Know when to Walk away Mr. Penaldo otherwise you will end up embarrassing yourself fvck!!!!
 
Hata WC iliyopita hakua kwenye kiwango bora sana..
Hakuna Aliyekataa kuhusu kushuka kwa kiwango cha Cr7 kutokana na umri. Aliombwa na rais wa ureno asistaafu bado timu inamuhitaji angetakiwa apewe Heshima fulani sio huu upuuzi unaoendelea Ronaldo ameibeba portugal mabegani kwake mpaka kufikia ilipo huwezi kumfanyia upuuzi wa namna hii
 
Usiongee kwa mihemko hiyo portugal ronaldo kaibeba mabegani since siyo timu tishio mpaka hapo ilipofika Anastahili Heshima yake tena kuba tu na sio huo upuuzi unaoendelea
 
Wazungu ni wapuuzi wanakuona wa muhimu unapowatumikia usipokua na thamani tena wanakutema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…