Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Mwaka usiishe huu umuoe huyo bibie usije ongeza idadi ya single mama ππππkusitiriana ni ukomavu wa hali ya juu, mie sina tofauti na wewe, ni vile sijaenda kulisha watu ukumbini tu. Ila maisha yanasonga.