Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

kusitiriana ni ukomavu wa hali ya juu, mie sina tofauti na wewe, ni vile sijaenda kulisha watu ukumbini tu. Ila maisha yanasonga.
Mwaka usiishe huu umuoe huyo bibie usije ongeza idadi ya single mama πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mnachelewesha watoto kwenda shule,umri wa kuishi Dunia umepungua ukigonga 40 una bahati mnooo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hahah nataka tufyatue kwanza ili babamkwe mahari nimpangie mimiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ elimu bure Magu karahisisha. Wataenda tu school!
 
Hivi unakua unacheka vipi au unafurahia vipi wakati unaona wivu hua nachekaga sana nikiangaliaga status za wadada kwenye sherehe za wenzao ambazo wao wwnyewe hawajaolewa wanajichekeshaga sana lakini daah ndo vile tena
Umenikumbusha ex wangu mmoja kwenye suala zima la status za harusi za wenzake.
 
Kugongwa atakuwa anataka ila nahisi anawaza na umri huu naanzaje kumvulia mtu nguo? Haya Mambo bwana yana umri wake, kitu 45 plus halafu huna mvuto wowote
Duuh..unampondea balaaa,hata kama ni kweli.
 
Halafu hizi fikra mwanamke anachuja hebu badilikeni,Mwanamke kujitunza mwili wala hauchuji wala sura haitoonyesha umri umeenda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kibongobongo kuchuja kupo pale pale labda uwe unaishi kwa Trump.
Nilishangaa kumuona Wema usoni akiwa bila make up wakati ule alipohukumiwa siku saba za kukaa mahabusu
 
Kibongobongo kuchuja kupo pale pale labda uwe unaishi kwa Trump.
Nilishangaa kumuona Wema usoni akiwa bila make up wakati ule alipohukumiwa siku saba za kukaa mahabusu
Wema amechuja kwaajili ya make up. Usipozoea sana kupaka make up huwezi chuha haraka
 
Back
Top Bottom