Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

Show za ndani kwa wiki napiga 4,mpango wa kando napiga napo 4 yani safi kabisa
 
Huyu amekariri. Na wengine walivyo wanafiki unaweza ukakuta mumewe anataka na kufanya kila siku. Kufanya mapenzi ni mazoezi kama mazoezi mengine. Kungekuwa na chembe ya ukweli wengine tungeshakufa hata kabla ya kufikia zaidi ya nusu ya umri wa kawaida wa binadamu.
 
Huyu naona kakariri tu bila kutumia zake. Kwa wengi walivyo wanafiki utakuta–––kama ameolewa–––mume wake anachimba kila siku. Kungekuwa na chembe ya ukweli wazee kama sisi tungeishasahaulika. How much sex should couples have? Here's what experts say.
 
Huyo daktari kama hamkazi mke wake, tutamsaidia sisi kumkaza huyo mke wake.. halafu tutamuacha aendelee kuishi milele akiogopa kufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara tatu kwa wiki maana yake ni angalau mara 8 au 9 kwa mwezi ukitoa na Yale mapumziko ya kibailogia.Daah nimepata agenda ya kukaa mezani na wife maana napunjika kinouma,Karibu mara Saba nzima kwa mwezi maana yake kwa mwaka ananipunja zaidi ya mara 84,Asante mtafiti na daktari nazingatia utafiti unapingwa kwa utafiti.
 
Hata Bongo km unajua namna ya kutunza afya yako unadumu milelee. Tatizo hapa kwetu GAYS wengi hawana elimu ya ujinsia, na walishajikatia tamaa, wanaishi ili mradi jua limewaka. Lol.

Afyaa ni muhimu kuliko chochoteee.

Hapo kwenye GAYS unamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…