Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

Minimwanaume ila kusex kila siku ni uongo hata kama mnapendana kwa wiki mara 3-4 safi tena kama kapita period hata wiki na nusu / mbili mnamaliza ila kwangu hata mwezi baridi tu

Ila ikija upande wa shoo nimizagamuo mkitoka hapo mnajikanda na mabarafu
 
Asanteni sana wadada jf mmeonyesha hisia zenu kali tafiti uchwara hizo
 
Kazi yoyote ukifanya bila kupumzika mwili lazm uishe wasisingizie s3x pekee
 
Majukum yamekuwa mengi unawazae maendeleo
Niliona umepigwa ban ilikuwa
Nahisi kuna kitu bado najifunza, kipindi cha nyuma nilikuwa na majukumu mengi sana na ndio kipindi nilikuwa moto kweli kweli.. huenda labda nimechoka, kuna jamaa yangu Extrovert hadi anashangaa navyokimbia mizigo ila sio zamani , nahisi nime expireπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

kuna sehemu nilitukana
 
Sex ni kwaajili ya uzazi tu , isipokuwa binadamu wamefanya ndivyo sivyo kwa kuifanya Kama starehe kama chakula.
 
Hahahahahah kila kitu kinaenda kinakinaisha
 
Kazi yoyote ukifanya bila kupumzika mwili lazm uishe wasisingizie s3x pekee
Unaju Bru, mapenzi ( sex ) ipo ndani ya mwili, ile ni kama kiu.. inategema kiu yako inaishaje. Na ukiona daily umo ujue hakuna balance na mtu uanae chapana nae.. ila kazi ya sex inachosha wee chapa uzeeni utakuja anzisha hapa thread mie nimekaa hapo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wewe utasimamisha mnara lakini mwenzako hata kulowa hatalowa nakwambia. Utaingiza ujipigie kama unabaka tu.
 
H
Mwambie aje kweli
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nina hubiri huku mie mzee.. hata wana hapa wanashangaa wanaiona mie mshamba, cha ajabu machine zinakuja kasi sijui shetwani anazituma.. ila zinatoa boko, kwenye miti hakuna wajenzi ndio naiona hii kauli kweli.. Carleen pambaniene alafu kazidi kupendeza anashinda tu ndani na hivi kama kashombe ka mchongo 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…