Daktari wa Magufuli akiwa Kiongozi na uhusika wake katika afya ya Rais

Kafa kwa uzembe wake mwenyewe
 
Mkuu, ukienda Hospitali ya Mzena utapata taarifa sahihi. Huku uraiani utapata majibu yenye kujaa hisia na mihemuko zaidi. Ila kwa wale wataalamu wa jadi kutoka Gamboshi mratibu wake mkuu alikuwa ni kipenzi chake.
Una point Mkuu.
Maana baada ya hiki kipenzi cha Mwamba kutoka kwenye mfumo, naona ukaaji wa Mwamba Magogoni ikawa changamoto na akaanza kutumia muda mrefu kwao na katikati mwa nchi licha ya kwamba mjengo wa katikati mwa nchi ulikuwa bado kukamilika!
Ila yote kwa yote, iko siku kila kitu kitakuwa wazi.
 
Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?
Dikteta alikuwa walking carcass wala msitafute mchawi wa kifo chake. Alikuwa kwanza amepandikizwa Pacemaker mwaka 1992, HIV, Herpes Zoster, Diabetes na Kichaa. Hata COVID-19 ilipompitia tayari alikuwa ni dhaifu.

Acheni madaktari wetu wachape kazi
 
πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ†’
 
Mkuu, ukienda Hospitali ya Mzena utapata taarifa sahihi. Huku uraiani utapata majibu yenye kujaa hisia na mihemuko zaidi. Ila kwa wale wataalamu wa jadi kutoka Gamboshi mratibu wake mkuu alikuwa ni kipenzi chake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Achana na huyo marehemu, Mungu alitusaidia kumuwahisha kiongozi katili na sadist. Bahati mbaya sana baadhi ya watu wenye roho mbaya kama yeye walimuona shujaa kisa kuporomosha uchumi wa waliokuwa juu ili waishi kama mashetani
πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™
 
Ingekuwa kuwa kwa wenzetu majibu tungekuwa nayo tayari, hata mhusika angelikuwa mahakamani.
Nchi zote zinazotuzunguka zimewahi kufiwa na Rais akiwa madarakani isipokuwa Uganda pekee, what's so special

Jomo Kenyata, Habyarimana, Nkurunzinza, Mwanawasa, Bingu wa mutharika na Samora Machel wote hawa walifia madarakani kwa sababu tofauti tofauti

Serikali ilishatangaza kupitia Rais Samia kuwa Rais Magufuli alifariki kwa ugonjwa wa Moyo uliogundulika kwa zaid ya miaka 10 kabla ya kifo chake

wanafamilia wake kuanzia Mama yake Mzazi hadi Dada zake walipata maradhi hayo kwa nyakati tofauti ikiashiria ni maradhi ya kurithi
lakin kwa kwenda mbali zaid Rais Samia alikaribisha watu wenye ushahidi tofauti na huo wajitokeze na wauweke hadharani, Karibu

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…