Daktari wa Magufuli akiwa Kiongozi na uhusika wake katika afya ya Rais

Mkuu wengi wanasubiri kujua sio jinsi Magufuli alivyokufa, bali jinsi wapendwa wao walivyokufa mikononi mwake! Usione watu wapo kimya!
 
Nyakati tofauti kutaja sababu tofauti zikiwa separate Kama chanzo Cha kifo inaleta ukakasi.
 
Jamaa anapiga jaramba kiaina sana yaani na matamko yake ya kiprofeshinari usile kuku, kula mayai.

Soon anapewa wizara, tupo hapa maana dunia inazunguka hii tusije shangaa mara paap huyu hapa kapewa kijiti!.
 
Wacha weeeeeeh.... 😃
 
Watu wanasema kuna ulinzi mkali ofisini kwa Prof. Janabi.
Watu wanauliza kwa nini ulinzi mkali namna hiyo wakati yule ni daktari tu?
Kwa hiyo yule sasa atapata cheo katika Chama ili wapate kisingizio cha kumlinda.
 
Nimejifunza kwamba swala la kushindwa kuhoji huanzia ngazi ya familia kuna mambo kwenye ngazi ya familia hutakiwi kuhoji ukihoji unaweza sababisha ufukuzwe
 
Wasaidizi wake wote wa karibu walikufa kwa covid ila ni yeye tu aliyeuliwa!.

Wanaompenda sana JPM wanakataa ukweli kuwa aliongoza nchi akiwa anaumwa moyo.
 

Kweli kabisa, hata kifo Cha Ben Saanane na Azory Gwanda vitwekwa wazi, pamoja na aliyempinga Lissu risasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…