Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.

Yapi maoni yako?

View attachment 2939197
sio sawa awaache watu wachague watakacho
 
Screenshot_20240319-220651.png
 
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.

Yapi maoni yako?

View attachment 2939197
Polis wa Tanzania ni kama mbw*!!!

Hawajawah kuwa na reasoning

Wao wakisikia " SHIKA/KAMATA HUYO "

Baasi ,,akili zao..zote huwa zinahamia kweny kukamata!!
 
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.

Yapi maoni yako?

View attachment 2939197
Hivi Mkuu unalikumbuka lile tangazo lilikuwa sijui lipo michuano ya UEFA au World Cup yule Jamaa alikuwa anaangalia mpira timu yake ikafunga goli akaenda toilet kushangili akavua jezi akabaki na ile jezi ya timu iliyoshinda, maana alikuwa anaona noma kushangilia mbele ya wenzake
 
Hajielewa na ndio shida ya kujiona unajua kila kitu kumbe ni mbumbumbu fulani....
.yaani anatupangia tupende nini
 
Back
Top Bottom