fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
sio sawa awaache watu wachague watakachoUkija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
View attachment 2939197
Hiyo ni akili kisodaMbona akili za ovyo sana hizi
Ana Wenge huyu
Anaharibu kabisa vibe ya mpira.Ana Wenge huyu
Jiandae kuwekwa seloNabarikiwa sana nikivaa jezi yenye tangazo la ETISALAT
Polis wa Tanzania ni kama mbw*!!!Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
View attachment 2939197
Kwa kosa gani? Lipo kwenye Penal Code?Jiandae kuwekwa selo
Hivi Mkuu unalikumbuka lile tangazo lilikuwa sijui lipo michuano ya UEFA au World Cup yule Jamaa alikuwa anaangalia mpira timu yake ikafunga goli akaenda toilet kushangili akavua jezi akabaki na ile jezi ya timu iliyoshinda, maana alikuwa anaona noma kushangilia mbele ya wenzakeUkija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
View attachment 2939197
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
View attachment 2939197
Hivi unafikiria uzalendo kwa nchi huwa ni kitu cha kulazimishana?!! Huwa unakuja automatically,Safi sana Waziri, Uzalendo kwanza.
Interesting....Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
View attachment 2939197