Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Yaani sawasawa na Arsenal ije Bongo icheze na Yanga halafu ukataze mashabiki wa Arsenal Bongo wasiingie na jezi za timu zao. Hopeless kabisa.
MPIRA SIO VITA.Watuacheee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani sawasawa na Arsenal ije Bongo icheze na Yanga halafu ukataze mashabiki wa Arsenal Bongo wasiingie na jezi za timu zao. Hopeless kabisa.
MPIRA SIO VITA.Watuacheee
WatuwacheeeeYaani sawasawa na Arsenal ije Bongo icheze na Yanga halafu ukataze mashabiki wa Arsenal Bongo wasiingie na jezi za timu zao. Hopeless kabisa.
MPIRA SIO VITA.
Huyu Waziri huwa HAJUI kabisa kuzungumza Kuna siku nilimsikia UFM kuhusu lile sakata la Katibu wa Mpira wa Netball, dah nilimuona uwezo wake wa kupambanua mambo ni mdogo sana, hata hiyo PhD yake inafikirisha sana yaani 😂😂😂Hilo bomu analolitengeneza atajuta
Kuvaa hizo jezi haitozuia Simba /Yanga kushinda,kufungwa au kusuluhu
Mchezo ni uwanjani, hizo jezi hazina cha kufanya na hata hiyo solidarity forever haipo basi tu
Kwa hiyo tuanze kukagua shabiki mmoja mmoja passport, like serious?
Waziri katoa boko, kama anataka kutumia hii platform kupanda chati kisiasa kafeli
Ndiyo mambo ya serikali kututia adabu.Huo ni ukandamizaji
Utapigwa hadi ushangae.Kipigo hadi unachakaa na kuzeeka kwa ghafla sana.Usithubutu!Ni ujinga mimi shabiki wa Mamelodi sitakiwi kuishangilia timu yangu?
Akili kama za waziri, kama ni hivyo mngeenda PM sasa. Huu ni mjadalaSasa jamani si unaona nimemquote mtu lakini? Huo ujumbe ni wake.
Anyways, kila mmoja yuko sahihi kwa upande wake na sikupingi.
Srikali huwa inaletewa challenges?Utalambishwa moto!Hapa ndio nimeamini media zetu zimejaa unafiki. Sijaona mtu aliye challenge zaidi ya kujifichia kwenye uzalendo. Haya yangezungumzwa na msemaji au kiongozi wa team ungeuona moto
Watajitia adabu wao wenyewe, hawawezi kuwapangia mashabiki wa soka pa kushabikia.Ndiyo mambo ya serikali kututia adabu.
Ndio kuzalisha mijitu mijuha huko isiyoweza kuwajibisha viongozi waliowaweka waoSrikali huwa inaletewa challenges?Utalambishwa moto!
Tii amri bila kuuliza.Utakwama.Ndio kuzalisha mijitu mijuha huko isiyoweza kuwajibisha viongozi waliowaweka wao
Tii maelekezo utakuwa salama.Watajitia adabu wao wenyewe, hawawezi kuwapangia mashabiki wa soka pa kushabikia.
Akiwemo bi KizimkaziMasalia ya awamu ya 5
Tunashangilia timu kwa kulazimishana?Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
Imagine ni mwanasheria tena PhDTunashangilia timu kwa kulazimishana?
Waziri kavunja katiba halafu kavunja haki za binadamu.
Kuna kipindi serikali inatakiwa iwe na ubabe ili usijisahau.Tunashangilia timu kwa kulazimishana?
Waziri kavunja katiba halafu kavunja haki za binadamu.
Kwenye kubeti nako atalazimisha watu wabeti upande upi? 🤣🤣🤣