Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Hatari sana Mkuu , ndio maana wakati wa kulala vitu kama visu inatakiwa kufichwa maana hawa wake zetu siku anaweza akaiga tabia za wanawake wa nyeri akamkata abdallah kichwa wazi aka babu Juma.
Tena umenikumbusha kitu kimoja muhimu sana, Mwanaume anatakiwa kulala na bukta bana, kuna ajali na mwizi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Inasemekana marehem alitiwa visu kwanza
 
Hivi unajua ulichokiandika wee utopolo????
 
Kama nimeelesa vizuri alipewa kwanza bia za bure na mdada, maana yake wakati tukio linafanyika jamaa alikuwa amelewa,isingekuwa rahisi kujitetea!
 
[emoji23][emoji23] wanawake wa sasa hawataki ujinga, ukisaliti unasalitiwa. Ukizingua wanakuzingua. Wanaume wakae kwa kutulia na wanawake zao, vinginevyo nyuzi za lawama hazitaisha humu jamvini
Wao hawachepuki? Ni upumbavu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…