Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo lakini ni asilimia chache sana za watu wanakata bima za moto.Kwani bima hazipo?
Kwa kweliNi busara kujiepusha kuamua chochote ukijawa na hisia.
kisa wivu wa mapenzi
Si useme tu mumachameHuyu dada kwa kumtazama tu kama sio Mrombo huyu basi Mpalestina...
Tena umenikumbusha kitu kimoja muhimu sana, Mwanaume anatakiwa kulala na bukta bana, kuna ajali na mwizi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Hatari sana Mkuu , ndio maana wakati wa kulala vitu kama visu inatakiwa kufichwa maana hawa wake zetu siku anaweza akaiga tabia za wanawake wa nyeri akamkata abdallah kichwa wazi aka babu Juma.
Inasemekana marehem alitiwa visu kwanzaMwana kafa kizembe kinyama, papatu papatu kashindwa kuurukia mlango na miguu miwili nginjaaaaa, baharia amefeli wap?
Hata ukiingia kwenye 18 za Simba huwezi kukubali kufa kizembe lazima ujitete hata kwa kumbinya mbupu zake ili umpe mtihani na yeye sembuse moto
All in rip baharia
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Hivi unajua ulichokiandika wee utopolo????Mwana kafa kizembe kinyama, papatu papatu kashindwa kuurukia mlango na miguu miwili nginjaaaaa, baharia amefeli wap?
Hata ukiingia kwenye 18 za Simba huwezi kukubali kufa kizembe lazima ujitete hata kwa kumbinya mbupu zake ili umpe mtihani na yeye sembuse moto
All in rip baharia
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Kama nimeelesa vizuri alipewa kwanza bia za bure na mdada, maana yake wakati tukio linafanyika jamaa alikuwa amelewa,isingekuwa rahisi kujitetea!Mwana kafa kizembe kinyama, papatu papatu kashindwa kuurukia mlango na miguu miwili nginjaaaaa, baharia amefeli wap?
Hata ukiingia kwenye 18 za Simba huwezi kukubali kufa kizembe lazima ujitete hata kwa kumbinya mbupu zake ili umpe mtihani na yeye sembuse moto
All in rip baharia
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Ni kweli! Ila pia hiyo ya kuchomoma nyumba makusudi asingelipwa chochote!!Zipo lakini ni asilimia chache sana za watu wanakata bima za moto.
Duh, yaani hatari sana! Hapa nipo nawaza sijui hivi visu nivifungie wapi aiseee!Hatari sana Mkuu , ndio maana wakati wa kulala vitu kama visu inatakiwa kufichwa maana hawa wake zetu siku anaweza akaiga tabia za wanawake wa nyeri akamkata abdallah kichwa wazi aka babu Juma.
Wao hawachepuki? Ni upumbavu tu![emoji23][emoji23] wanawake wa sasa hawataki ujinga, ukisaliti unasalitiwa. Ukizingua wanakuzingua. Wanaume wakae kwa kutulia na wanawake zao, vinginevyo nyuzi za lawama hazitaisha humu jamvini
Karibu Baba Swalehe, tunasubiri conclusion 🤪Mkimaliza kuongea nambieni nitie neno na mimi