Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

ni kweli lakini haihalalishi kilichofanyika pengine labda kama dada amesababishiwa matatizo ya akili.
 
..Mkuu, una maana hapo kuwa Bia za Dezo pia zimemponza Zungu!
Kwamba angezikataa na akaendelea na ratiba zake za hizi angekuwa kwenye ishu zake za kutafuta pochi tu? RIP Zangu.
 
Saivi hatutumii magunia ya mkaa, ni mwendo wa gesi ya kuchomea
 
Huyo mwanaume alikuwa mlemavu au mtu wa mitungi au kikongwe?

Mwanaume mwenye utimilifu wa mwili na akili, huwezi chomwa ndani ya nyumba na usitafute means za kutoka nje hata kwa kupitia kwenye dari, kisha kutoka kupitia roof
Kama alimlewesha akamfunga kamba...?
 
Huyo Neema ni special case(kitendo alichofanya ni cha kishetani kabisa)!

Mimi nazungumzia kwa wanandoa.
Hata hao wanandoa, sasa mtu si anafuata ya dini yake!? Ndio maana kila siku huwa tunasema oa au olewa na wa dini yako. Huwezi kumlazimisha mwenye dini yake afuate ya dini yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…