BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Watateseka Sana. Kwa tunavyowsjua ndugu watakaowachukua na kukaa nao, mtoto akikosea kidogo tu utasikia..."usinisumbue! Mama na mama yako wameuana huko unataka kuniletea Shida mimi!"Watoto watateseka sana. Baba hayupo na mama hayupo. Who gonna take care of them? Inaumiza sana.
Ndugu wa kiafrika waone hivi hivi...