Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

Dar ni mji uliochochangamka, yaani kuliita jiji ni kuyakosea majiji heshima.
 
Thamani
Thamani ya ardhi ndio uchumi mmojawapo wa mji.Hiyo ardhi (kiwanja)cha eneo uliopigq picha,kiko bei gani
Thamani ya kiwanja,ndio thamani ya eneo.Kiwanja yapo cha 25 ×3
Thamani ya kiwanja hapo Dar,25×30,ni Bilioni kadhaa,halafu wasema hakuna uchumi.Angalia thamani ya kiwanja kwanza.Wakati kiwanja hicho hicho,25 kwa 30,ni milioni
Thamani ya kiwanja 25 kwa 30,ni bilioni kadhaa,wakayi mikoani ni milioni mbili mpaka 7.Huko uchumi uko juu
 
Hizi namba hapo za nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…