Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

Unachosema ni kweli hali ya maisha ni ngumu sana nauli zimepanda sana ninachoweza kushauri tafuta nyumba kulingana na uelekeo wa kazi zako kama haupangi ila kama unapanga basi inabidi uhakikishe na shemeji yetu na yeye achakalike ili mpinguze makali ya maisha. Ni ushauri tu mkuu.
 
Kabisa,

Au mtu anaambiwa kimara kiwanja 8M, na Kibaha kiwanja 3M anakimbilia Kibaha, ila akishahamia Kibaha cost per month za kukaa mbali ni 300k
maisha ya kuajiriwa ni ya muda, ukijenga nje kidogo ya mji raha na faida yake utaiexperience utakapostaafu kazi maana eneo si la kujifinyilia sana. Kukaa nyumba za national housing lingekuwa ni wazo zuri sana kwa wafanyakazi wa town kama zingekuwepo nyingi za kutosha.
 
Inategemea wakati anajenga alikuwa anafanyia kazi wapi? Umetoa lawama ya jimla mkuu
 
Mtanyooka tu mtake msitake
 
Vichwa flat Wana enjoy na miradi Kila Kona, ujenzi wa bara bara Kila kona ,masoko na nauli ni standard wanapata wapi pesa na miradi yote inajengwa kwa pesa za ndani, kama sio zote zinatoka kwa machogo bring back Chogo country.
 
Wanawake wanasema sio majukumu yao kutunza familia.
 
Mzee kituo Gani cha polisi nikanunue boda boda
 
Inaweza kuwakera wengine ila huu ndio ukweli


Haya mabadiliko yote muhanga mkuu ni mwanamke, watatombwa mno huku uswazi ili waweze angalau kujikimu hata kidogo tu. Na namna inavyokwenda, naona kabisa vyumba navyo vikipanda bei na kuna fununu za mafuta kupanda tena mwezi ujao, boda boda na bajaji nao bei zitaruka, hii El nino nayo inazidi kusafisha tu maghala ya vyakula rejea mafuriko ya Mwanza jana, waliokuwa wamehifandhi mpunga na mchele kwenye mashine zilizo ukanda wa mto kenge waulize kilio chake.

Kilosa nako wiki iliyopita, kiliwaka nako, oyaaa! Mambo sio mambo wandugu
 
Kuna kaukweli
 
Mishahara ya kibongo ni pasua kichwa.Ndio maana rushwa na wizi(madili) havipungui.
Kuna siku niliiona salary slip ya jamaa yangu,nikamuuliza unaishije?.nikajibiwa Bora yeye Hana mkopo wenye mkopo ndio usiseme.🤣🤣🤣🤣💺
 
2020 mliichagua CCM full suit (Jiwe, mbunge na Diwani)
 
Siku hzi sisi wenye uchum wa kati tunafunga gas, kwa shiling 17,000 unatembea km 150+
 
Nilikuta ajal maeneo ya bunju A, bodaboda yuko chini dam zinamwagika utosin asee, ile picha had leo haitok..bodaboda hpana asee simshaur mtu bora apande daladala
 
Hili suala wengi hawazingatii, wewe unalipwa laki tatu halafu unakaa kilomita 45-50 mbali na kazini utakuwa maskini mpaka uzeeni... kaa mbali kama una usafiri wako nje ya hapo unazingua
Kwahiyo kila siku utakuwa unafanya kazi hyohyo mpaka unakufa, jiongeze kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…