Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

Kwa vile wameeundikana hapo town kwenye dampo lao Hilo na vimagorofa virefu basi wanaona ni boonge la Mji wakati ni slum tupu.
Wanaujinga mwingi sana! halafu hawataki hata kutembea kidogo hata baadhi ya nchi za Africa tu wanaona dar ni bonge la jiji Africa yote.

Kuna mjinga mmoja hapo amesema koko beach sasa sijui kuna lipi la ajabu pale zaidi ya mihogo na mishikaki.Aende Durban KwaZulu-Natal akaangalie beach zilivo.
 
Huwa nikiangalia picha na video za Miji mbalimbali Africa Dar ni takataka.

Ndio maana huwezi sikia Dar kwenye Majiji mazuri kabisa Kwa sababu imejengwa hivyo kama gulio
 
Maskini huwa tuna akili za ajabu sana. Yaani tunajimilikisha miji kama vile ni ya kwetu tumeijenga wenyewe. Kuna wenye Dar yenu, kuna wenye Mwanza yao, kuna wenye Arusha yao, na kuna wenye mikoa yao mingine, upuuzi mtupu!

Wenye pesa zao waliofanya investment zinazoiinua na kuifanya hiyo miji ionekane wala husikii kelele zao wakitamba, kipengele ni sisi akina pangu pakavu tuliopanga chumba na sebule uswahilini tukiwa hatuwezi hata kuhimili milo mitatu kwa siku.

Kuna siku nimeiponda buza kwa utani tu kwenye group la WhatsApp duh! Dada mmoja (mwenye buza yake) kidogo animeze! Tena ni msomi mwenye shahada kabisa! Nilishangaa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe.
 
Wewenhujafika obey, masaki wala mbezi beach then unasema dar pa kawaida..!
Aya baki hukohuko kwenye mashamba ya mihogo...
 
Ujuaji Ukizidi Shida
Kwahiyo Mji Unahusishwa na Wanawake fake?
Nilisahau, ni kweli mpaka wanaume fake fake. Kuishi maisha ya uongo uongo. Malaya kibao dar ndio mastaa, kujifanya wafanyabaishara ,wasanii! Wajuaji ni nyie watu wa dar mnajikutaga mnajua kuliko kila mtu, mna assume mtu akitoka nje ya dar eti ni mshamba, au hajui vitu. Rubbish. Nikienda mahali mnataka muongee nyie , mjulikane nyie, mnapenda sifa za kishamba. Tunawadharau sana. Arrogant pieces of crap.
 
Mimi jwetu Dar, sijakuelewa hoja yako haswa ni nini? Umechanganya mambo chungu nzima.

Twende taratibu wenye jiii letu tukupe majibu.
 
Wewenhujafika obey, masaki wala mbezi beach then unasema dar pa kawaida..!
Aya baki hukohuko kwenye mashamba ya mihogo...
Kwani kuna maajabu gani? Tunapajua sana tu, kwanini usiseme ,kivule, Tandale, Buguruni Mbagala , Vingunguti n.k! Population kubwa ya dar haiishi huko unapotaja. Dar is trash. Poorly planned , hectic for no reason. Just a trash city. Na ndio maana kwenye majiji duniani wala halieshimiki sababu halina hadhi, ata International TV weather broadcast tu hawaiwekagi.🤣
 
Mimi mwenyewe nashangaa hakuna cha ajabu chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…