Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Mikoa yenye watu wenye umasikin wa kutopea inafahamika mkuu.

Ukimuona mtu kajenga Dar mheshim Sana ,, huko mkoani hata Fala anajenga .

Usichokijua TASAF ipo busy Zaid mikoani kuliko Dar
labda kama haujawahi kujenga. mtu anayejenga mkoani mheshimu kuliko anayejenga Dar. kwasababu samani hapo dAr zinauzwa bei ndogo sana kulinganisha na mkoani. Mungu amenisaidia nimejenga kote huko mikoani na Dar. bei ya nondo Dar ni chini sana kulinganisha na mkoani, bei ya cement, bei ya bati, ipo chini mno, ndivyo mnavyojifariji. lakini still, watu wa mikoani wanajenga. you know why? ni kwasababu spending ya mkoani ni ndogo kuliko ya Dar, ninyi hichohicho kidogo mnachokipata mnaspend sana kwenye usafiri, maji na vyakula. ndio maana unaona hata kujenga ni ngumu kwenu kwasababu pesa kuipata sio rahisi na hata ile unayoipata inaisha kizembe sana. nikupe tu mfano mmoja, mtu anayejenga nyumba Mbeya, Iringa au Dodoma, au hata singida, kigae safi, mheshimu sana, ukijua materials alizonunua ni gharama kuliko wewe ulizonunua bongo.

Dar es salaam unachimba popote unapata mchanga hata wa kufyatua tofali zako, mkoani tunaagiza malori na malori kufuata mchanga kwenye mabonde huko.
 
Upo pande zipi mkuu tusogee utupe connection? Maisha ni kuinuana
 
Tutabishana Sana, hata hivyo nyumba hazijengwi Kwa Samani
 
Wewe upo kundi lipi kati ya hao uliowataja?
 
Mikoa yenye watu wenye umasikin wa kutopea inafahamika mkuu.

Ukimuona mtu kajenga Dar mheshim Sana ,, huko mkoani hata Fala anajenga .

Usichokijua TASAF ipo busy Zaid mikoani kuliko Dar
Nimekumbuka wimbo wa sikati tamaa rimix darasa ft Godzilla & joh makini

Hao wa mikoani hawawezi kukuelewa mkuu 😊😊 wanafananisha dar es salaam TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ na mambo ya AJABU AJABU 😊😊
 
Nitapiga mtu hapa
 
Tutabishana Sana, hata hivyo nyumba hazijengwi Kwa Samani
zinajengwa kwa nini? kwa ugali? samani za ujenzi namaanisha building materials. kosoa grammar kwasababu umeshindwa kwenye hoja. ati mtu anakuja leo anasema kujenga Dar es salaam ni nguvu kuliko mkoani, ulishawahi kujenga koani ukauziwa cement iliyoongezwa karibu alfu tano juu ya ile inayouzwa Dsm wewe? misumari, bati hati watu tunanunua Dar na kupakia kwenye malori kuleta mkoani kwasababu maajenti wao huku wanatupiga na kutuchanganyika fake. hata hujui unaongea nini.
 
Pesa ni mikakati wengi hawana mipango na mitaji
Mkuu dar huitaji mtaji wa pesa Mingi Kuna watu wanapiga mingo Kwa deals mbalimbali kisa tu wanawateja wengi mzigo unapewa bureeee kikubwa uaminifu mkuu πŸ˜ŠπŸ€“πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ˜Š
 
Lkn hii tabia ipo karibu miji yote mikubwa duniani. Sehemu yenye matajiri wengi ina masikini wengi pia wa ajabu
Nenda na
Mkuu dar huitaji mtaji wa pesa Mingi Kuna watu wanapiga mingo Kwa deals mbalimbali kisa tu wanawateja wengi mzigo unapewa bureeee kikubwa uaminifu mkuu πŸ˜ŠπŸ€“πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ˜Š
Mpaka uijue hiyo mikondo. Information is power
 
Mkuu sisi dar hatuhami πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ nyinyi endeleeni kupeperusha πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Huko mikoani
 
Daslama!!?! we sio wa dar wwπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Hamna mwenyeji wa dar au darslam akapaita daslama sijawahi sikia we kama sio wa njombe itakuwa katavi
Nimeandika tu hivyo nami huwa napenda kupaita daslama ulitaka niseme Dar au Dar es salaam mkuu ? Ila nasemaje me huku siondoki we sema yoote ila hakuna kona utanidanganya hapa mjini….
 
Mkuu sisi dar hatuhami πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ nyinyi endeleeni kupeperusha πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Huko mikoani
Kama ulivyosema mkuu me dar siondoki , dar ndio pamenipa kazi, dar pamenipa maisha siwez enda popote aisee…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…