Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

Malawi na Tanzania zote zipo kundi moja, the poorest nations in the world.
 
Mkataba umesainiwa 2015
 
Issue ni recognitions.
 
Hamna mimi sina jibu.nategemea great thinker wewe unisaidie. Jpm flyover hamuhusu?
Kila Mtanzania inamuhusu, issue iliyo jadilika ni uhusika, yani JK kama founder wa mradi na fedha, JPM kahusika katika usimamizi wa utekelezaji. Dhana hapa ni recognition ya aliye fanya sehemu ya Msingi.
 
Issue ni recognitions.
Kama ni recognition alitoa kwenye mradi wa mloganzila na alitoa kiuungwana coz hata awam yake yy katoa hela nyingi sana hadi hospital kukamilika. Fuatilia hotuba za uzinduz wa ile hospital utajua kias gan kuna mkono wa jpm.
 
Sifikir kama ni hoja. Hii ni huku jf tu kwenye siasa uchwara tena zilizojaa chuki.
Wala hamna chuki,nauliza tu kwanini sisi hatuweki wazi?Mkataba ungekuwa umesainiwa 2017,wasingesema?Ikumbukwe kuwa sehemu ya mkataba,japan waliahidi kuchangia asilimia fulani ya gharama za ujenzi,nadhani bil 26!Hii ni kutokana na diplomasia ya JK!
Nadhani JK anastahili credit japo kidogo,ila hajatajwa kabisa mpaka sasa!
Ngoja tusubiri
 
Kila Mtanzania inamuhusu, issue iliyo jadilika ni uhusika, yani JK kama founder wa mradi na fedha, JPM kahusika katika usimamizi wa utekelezaji. Dhana hapa ni recognition ya aliye fanya sehemu ya Msingi.
Jk katoa yy pesa?Yaani unataka kusema jk kabla hajamaliza mda wake alitoa kila kitu kuhusu flyover na jpm kazi yake ni kusimamia tu?
 
Kila Mtanzania inamuhusu, issue iliyo jadilika ni uhusika, yani JK kama founder wa mradi na fedha, JPM kahusika katika usimamizi wa utekelezaji. Dhana hapa ni recognition ya aliye fanya sehemu ya Msingi.
Uko sahihi,maana diplomasia ya JK ilisababisha serikali ya Japan ituchangie kiasi cha fedha katika mkataba uliosainiwa 2015
 
Kusaini na utekelezaji ni vitu viwili tofauti. Kwanini huo mradi wa ubungo unasuasua?Umesainiwa lini?
Utekelezaji usingeshindikana hata kama Matonya angekuwa rais kwa sababu pesa ilikwishatolewa na wajapan.
 
Usipojuwa kujipendekeza huwezi kudumu utawala huu.

Nyerere alimwambia kwenye kikao cha Nec nitapendekeza jina lako ili uwe Rais wa Tanzania lakini wewe utasimama na uikatae nafasi hiyo, basi ndani ya kikao Nyerere alipompendekeza Mwinyi kuwa mgombea Urais Mwinyi alisimama na kuanza kuwashukuru wajumbe kwa imani yao kubwa kwake na yuko tayari kwa nafasi hiyo.
 
Kwani nani sio mkaazi wa huko. Mie kujua kuwa Man U ipo uingereza sio lazima niwe nimefika UK
Kinyerezi kuna miradi mingap hadi sasa?Mimi ni mkazi wa huko sasa ukileta ujuaji nashangaa
 
Lkn JPM pia aliweza kuharibu huo msaada wa billion 26.kumbuka fedha za mcc ambapo zimesababisha miradi mingi kukwama. JK alipewa credit kwenye mloganzila na kweli kule alistahili ingawa ukifuatilia utaona jpm katoa hela kibao kushinda yeye
 
Utekelezaji usingeshindikana hata kama Matonya angekuwa rais kwa sababu pesa ilikwishatolewa na wajapan.
Wajapan wametoa billion 26,je ndizo zilizojenga hiyo flyover?
 
Kwani nani sio mkaazi wa huko. Mie kujua kuwa Man U ipo uingereza sio lazima niwe nimefika UK
Sasa wewe unaleta story ambazo hazipo. Kuna kuweka jiwe la mcng na kuzindua kitu kifanye kazi.sijui ka haya unayajua.
 
Lkn jpm pia aliweza kuharibu huo msaada wa billion 26.kumbuka fedha za mcc ambapo zimesababisha miradi mingi kukwama. Jk alipewa credit kwenye mloganzila na kweli kule alistahili ingawa ukifuatilia utaona jpm katoa hela kibao kushinda yy
Ngoja nione kama JPM atatambua mchango wa JK
 
Unajua hawa watu ndo wanatufanya tuwe na hii hali ya kupigania hata mambo ya wazi.
Mambo yapo wazi kabisa, mtu anakuja ooh Rais angeamua angeweza kutupilia mbali ujenzi unatupilia mbali wakati umeshaingia mkataba na mkandarasi kaanza mobilization
 
JPM:CCM ikiahidi jambo,inatimiza!

Mimi naulizia mil 50 kila kijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…