Malawi na Tanzania zote zipo kundi moja, the poorest nations in the world.
Nimefuatilia nchi kama Malawi haiendelei coz kila kiongoz anayekuja anakuja na mambo yake kuonekana kaanzisha yeye. Huyu akianza mradi kabla haujaisha na mda wake ukapita anapiga anayeingia ananza mradi wake. So unakuta nchi ipo ipo tu haina mipango ya mda mrefu. Tanzania unakuta kuna mipango ya mda mrefu na kila kiongoz akiingia anaangalia kipi akitekeleze na sio kwa kutaka sifa za nani kafanya. Kuna mradi wa Airport kauacha jk lkn jpm anauendeleza, mloganzila, kinyerezi yote ni miradi imeachwa nusunusu na kwa akili za ufipa ilitakiwa jpm apige chini aanze na ya kwake na kwa akili hizi cjui ka nchi ingeenda. Mradi kafungua jpm na kazindua jpm lkn mtu anakuambia jpm hajajenga yy kajenga jk.