Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Ooohooo mpiga nzumari wa "hamelini"....naona unademkia tu RAMLI zisizopo.....

Mama ni mkarimu mno....

Huoni MBOWE ameshinda kesi na zile 300M karudishiwa?!!

Huoni UAMSHO wako nje wanajilia "ubweche" baada ya MARAIS WAWILI kupita wakiwaacha ndani?!!

Huoni Singh Seth Yuko nje kwa PLEA BARGAIN?!!!

Huoni Mdude Nyagali yuko nje uraiani anakula maparachichi tu Sasa?!!

Huoni JOBLESS 8000 wameajiriwa TAMISEMI(ELIMU&AFYA)?!!

Huoni HESLB wameongeza "BOOM" kutoka buku 8 mpaka la "kumi "?!!!

Huoni ametufutia TOZO YA RETENTION FEE 6% kwa wanufaika HESLB?!!

Huoni.......
Huoni.......
Huoni......
Huoni......

MAMA ANAUPIGA MWINGI

MAMA NI NYOTA YA MCHEZO NDANI TU YA MUDA MFUPI....

#KaziIendelee
#SSHKipenziChaWatanzaniaWengi
#SSHMkarimuMsikivuMwenyeHuruma
 
Mungu ibariki CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Unlike the Brain stomach Will alert you when is empty"
 
Nchi inajengwa toka 1961 what a joke CCM hamtaleta maendeleo Tanzania sababu hamna watu smart kichwani kuongoza wote ni madebe kutika
 
"unlike the brain the stomach will alert you when is empty"
 
🤣🤣

Mama SSH ni mwenyekiti wa CCM...ameshajiisha mchakato...Mbowe ameshinda KESI na milioni 300 anazo....Mdude Nyagali yuko nje....

Hao wahalifu usemao hata CHADEMA wapo......
 
Tatizo lenu mnapenda sana siasa za MAPAMBANO "tug of war" na vitisho [emoji1787][emoji1787]

Sasa mh.Rais amlilie nani ?!!

Ndivyo mlivyofundishwa katika KOZI ZENU zinazoandaliwa na CDU kule Ujerumani ?!!! [emoji1787]
CCM mnapenda mipasho na kuua wapinzani
 
Nchi inajengwa toka 1961 what a joke CCM hamtaleta maendeleo Tanzania sababu hamna watu smart kichwani kuongoza wote ni madebe kutika
Karibu kahawa mkuu wangu....

Yaani CCM ikose watu smart?!!! Hauko serious mkuu....🤣🤣
 
Karibu kahawa mkuu wangu....

Yaani CCM iko watu smart?!!! Hauko serious mkuu....[emoji1787][emoji1787]
Hakuna watu smart labda wale waliokuwa makapi CDM

Otherwise CCM tena balaza lenu la vijana limejaa vijana wenye temaa mashoga kibao
 
Hakuna watu smart labda wale waliokuwa makapi CDM

Otherwise CCM tena balaza lenu la vijana limejaa vijana wenye temaa mashoga kibao
Mkuu unawajuaje mashoga ikiwa vitendo vyao huwa SIRINI ?!! 🤣

Ushoga hauna ITIKADI ,DINI ,RANGI ,KABILA WALA VYAMA MKUU....

Umeamua kuwachafua WENGINE.....mdomo Mali yako mkuu......
 
What exactly is this? Is it a dinner, or a picnic, funeral, or what? We are used to (happy) weddings in an hotel or (sad and slen) funerals, where food comes somewhere in the day's agenda. Weddings are by invitation only, with a known bride and groom. Burials are solemn events and, in African culture, MUST be attended by all neighbours. Even passers by including g strangers are expected to stop and pay homage to the deceased before moving on.

In both cases food must be served at normal lunch time or dinner.

What exactly is this one? NI MKUTANO WA SIASA, KUOMBA TUME HURU HUKU WAKILA. Why not say sovereign? Very ingenious. My answer would be to ask for name of dead person or the husband-and-wife persons being wedded, plus the list of invitees in the latter case.

OTHERWISE WAOMBE KIBALI CHA MKUTANO WA HADHARA WA KISIASA KAMA KAWAIDA.SI DHAMBI.
 
Polisi wa kiume wenye Bunduki wamevamia ukumbi wa Hekima Garden kwenye shughuli ya Wanawake wa Chadema usiku huu, wamezuia kupiga mziki na kutumia vipaza sauti wamewapa dakika 30 akina Mama waliohudhuria shughuli hiyo kula na kuondoka ukumbini hapo.

Wamewalazimisha wafunge shughuli waondoke kila meza ilikuwa na Polisi mwenye bunduki, wanawake wa Chadema waliandaa chakula cha usiku na wadau wa Chama DSM, Mh. Freeman Mbowe alikua mgeni rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…