Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Samia ni Magufuli wa kike.Muda siyo mrefu ataanza kutumia damu za watu kama mafuta/fuel ya kuendeshea serikali kama mtangulizi wake.Muda siyo mrefu ataanza kuishi kwa kula nyama za watu kama mtangulizi wake.

Nilisema sana hapa kuwa she is inept leader kwa sababu ana laana za mtangulizi wake nikawa nabezwa.
Ooohooo mpiga nzumari wa "hamelini"....naona unademkia tu RAMLI zisizopo.....

Mama ni mkarimu mno....

Huoni MBOWE ameshinda kesi na zile 300M karudishiwa?!!

Huoni UAMSHO wako nje wanajilia "ubweche" baada ya MARAIS WAWILI kupita wakiwaacha ndani?!!

Huoni Singh Seth Yuko nje kwa PLEA BARGAIN?!!!

Huoni Mdude Nyagali yuko nje uraiani anakula maparachichi tu Sasa?!!

Huoni JOBLESS 8000 wameajiriwa TAMISEMI(ELIMU&AFYA)?!!

Huoni HESLB wameongeza "BOOM" kutoka buku 8 mpaka la "kumi "?!!!

Huoni ametufutia TOZO YA RETENTION FEE 6% kwa wanufaika HESLB?!!

Huoni.......
Huoni.......
Huoni......
Huoni......

MAMA ANAUPIGA MWINGI

MAMA NI NYOTA YA MCHEZO NDANI TU YA MUDA MFUPI....

#KaziIendelee
#SSHKipenziChaWatanzaniaWengi
#SSHMkarimuMsikivuMwenyeHuruma
 
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo .

Ikumbukwe kwamba BAWACHA waliandaa hafla yao ya halali Mikocheni na kupeleka taarifa kwa DED kama sheria zinavyoelekeza , jambo ambalo limeiogopesha Mamlaka ya Tanzania .

Bawacha wamegoma kuendesha kongamano lao chini ya pingu za polisi .

View attachment 1838235


UPDATES
============

Video : Mwamba Mbowe awasili kwenye hafla hiyo huku akipenya katikati ya mitutu ya bunduki

View attachment 1838305
Mungu ibariki CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa SIASA za matukio tena....

Kuna wakati mnawalaumu tu POLISI....

Kuna kitu leo nishee hapa....

Hivi mnajua kuwa KUIJENGA NCHI NA KUISIMAMISHA NI KAZI SANA ZAIDI YA KUIBOMOA?!!!

Nchi inasimamiwa na Serikali iliyoko madarakani....

Na Serikali yoyote ile duniani Ni lazima IOGOPE machafuko/mapinduzi kwa FAIDA YA NCHI ,watu wake na VIONGOZI WA HIYO SERIKALI....

Sasa huwa tunawalaumu sana Polisi wa hizi nchi zetu za Afrika wakati mwingine KIHISIA TU.....

Hebu tufikiri hivi.....

Ni juzi tu mh.Mbowe AMENG'AKA MNO.....aliyoyaongea jukwaani ni "alarming point" kwa SERIKALI yoyote hata ingekuwa ni ya CHADEMA....

Baada ya "kung'aka kwake" yakafuata matamko ndani na nje ya nchi....haswa kutoka kwa mh.Tundu Lissu kuwa ,kuhusu KATIBA MPYA ni lazima ipatikane kwa HERI AMA KWA SHARI ....so put yourself in that position....would you let things going without putting your nose on it?!!!

TUTAFAKARI JAMA.....

POLISI WAKO SAHIHI NANYI BAWACHA....2 months ago ,BAWACHA from LAKE ZONE wanted to demonstrate in Dodoma against Speaker's decision on "Covid-19 members of parliament's" before cancelling their gathering following Police's ban.....

Jamani jama ,NCHI HA ZIENDESHWI KILIBERALI eti tu kwa kuwa Kuna UHURU WA VYAMA VYA UPINZANI...UHURU WA KUKUSANYIKA.....

#KaziIendelee
"Unlike the Brain stomach Will alert you when is empty"
 
RBC najua uko kazini hapo UFIPA....

Unaweza kumlaumu MAMA vile upendavyo....ila hata ingekuwa ni wewe....kwa hizi nchi zetu za kiafrika....ungepachikwa majina tu....

Eswatini kumeshawaka though it's not the same case as ours.....

KUBOMOA NCHI NI KAZI NDOGO TU KULIKO KUIJENGA
Nchi inajengwa toka 1961 what a joke CCM hamtaleta maendeleo Tanzania sababu hamna watu smart kichwani kuongoza wote ni madebe kutika
 
Bawacha wameona mbali.. hawakutaka yawakute yaliyomkuta Mdude. Fikiria ukamatwe leo ijumaa ukalale selo mpaka j3, huku mke wa Mbowe akilala kwake na mume wake bila bughuza yoyote. Ni bora wamejiongeza kwa kukataa kutumiwa kama daraja la mwenyekiti na makamu wake.
"unlike the brain the stomach will alert you when is empty"
 
🤣🤣

Mama SSH ni mwenyekiti wa CCM...ameshajiisha mchakato...Mbowe ameshinda KESI na milioni 300 anazo....Mdude Nyagali yuko nje....

Hao wahalifu usemao hata CHADEMA wapo......
 
Tatizo lenu mnapenda sana siasa za MAPAMBANO "tug of war" na vitisho [emoji1787][emoji1787]

Sasa mh.Rais amlilie nani ?!!

Ndivyo mlivyofundishwa katika KOZI ZENU zinazoandaliwa na CDU kule Ujerumani ?!!! [emoji1787]
CCM mnapenda mipasho na kuua wapinzani
 
Karibu kahawa mkuu wangu....

Yaani CCM iko watu smart?!!! Hauko serious mkuu....[emoji1787][emoji1787]
Hakuna watu smart labda wale waliokuwa makapi CDM

Otherwise CCM tena balaza lenu la vijana limejaa vijana wenye temaa mashoga kibao
 
Hakuna watu smart labda wale waliokuwa makapi CDM

Otherwise CCM tena balaza lenu la vijana limejaa vijana wenye temaa mashoga kibao
Mkuu unawajuaje mashoga ikiwa vitendo vyao huwa SIRINI ?!! 🤣

Ushoga hauna ITIKADI ,DINI ,RANGI ,KABILA WALA VYAMA MKUU....

Umeamua kuwachafua WENGINE.....mdomo Mali yako mkuu......
 
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo .

Ikumbukwe kwamba BAWACHA waliandaa hafla yao ya halali Mikocheni na kupeleka taarifa kwa DED kama sheria zinavyoelekeza , jambo ambalo limeiogopesha Mamlaka ya Tanzania .

Bawacha wamegoma kuendesha kongamano lao chini ya pingu za polisi .

View attachment 1838235


UPDATES
============

Video : Mwamba Mbowe awasili kwenye hafla hiyo huku akipenya katikati ya mitutu ya bunduki

View attachment 1838305
What exactly is this? Is it a dinner, or a picnic, funeral, or what? We are used to (happy) weddings in an hotel or (sad and slen) funerals, where food comes somewhere in the day's agenda. Weddings are by invitation only, with a known bride and groom. Burials are solemn events and, in African culture, MUST be attended by all neighbours. Even passers by including g strangers are expected to stop and pay homage to the deceased before moving on.

In both cases food must be served at normal lunch time or dinner.

What exactly is this one? NI MKUTANO WA SIASA, KUOMBA TUME HURU HUKU WAKILA. Why not say sovereign? Very ingenious. My answer would be to ask for name of dead person or the husband-and-wife persons being wedded, plus the list of invitees in the latter case.

OTHERWISE WAOMBE KIBALI CHA MKUTANO WA HADHARA WA KISIASA KAMA KAWAIDA.SI DHAMBI.
 
Polisi wa kiume wenye Bunduki wamevamia ukumbi wa Hekima Garden kwenye shughuli ya Wanawake wa Chadema usiku huu, wamezuia kupiga mziki na kutumia vipaza sauti wamewapa dakika 30 akina Mama waliohudhuria shughuli hiyo kula na kuondoka ukumbini hapo.

Wamewalazimisha wafunge shughuli waondoke kila meza ilikuwa na Polisi mwenye bunduki, wanawake wa Chadema waliandaa chakula cha usiku na wadau wa Chama DSM, Mh. Freeman Mbowe alikua mgeni rasmi.
 
Back
Top Bottom