Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
- Thread starter
-
- #381
Mongolandege ukiifika darajani una kunja kushoto the android ukifika darajani unanyooka
Wachaga wengi ni washamba shapu, limbukeni, roho mbaya, wizi.Huu mwaka Ni mwaka ya wachaga kutoa roho za watu, juzi Kati mchagga kang'oa macho ya mama yake mzazi,juzi Tena mchagga kachoma nyumba na kumuua mme wake ,Jana tu mchaga kapiga Innocent man kwa risasi na kuua,Hawa watu ni makatili Sana kuliko jamii yoyote.
Mungu atunusuru na hii jamii ya wachaga ,sijui tu siku wakichukua nchi, watakua wanatufata majumbani na kutuua.
Rest in peace marehemu wote waliouiliwa na wachagga ndani ya wiki hii.
Chuma cha mjerumani, kuna tetesi kwamba huyo aliyeuawa alikuwa na mahusiano na mke wa huyo jamaa aliyeua, kuna uwezekano mkubwa, mtu hawezi kuamua kukupiga risasi bila sababu, na wanaume wengine wana madharau, unachukuaje mke wa mwenzio ?, wnawake ambao hawajaolewa mbon wako wengi sana !!kuna maamuzi mengine magumu sana.
sababu itakuwa
1.pesa
au
2.mapenzi
Paitwa Mwembeni kweli unapajua mkuuNapajua kote huko... nadhani pana jina la asili either Miembeni au Stakishari lakini ni kata ya Segerea Jimbo la Segerea... ila sio Kinyerezi... Kinyerezi inaanzia baada ya Mbuyuni.
Wote waliopitisha huyu jamaa apewe silaha wana la kujibuNdio shida ya silaha kutolewa hovyo hovyo.
Haziwezi pombe basiSababu ni ulevi bna mbona watu mnakalili kua ni mapenzi tu.
Jamaa kakesha na ulabu monie bado yumo tu, na uyo chalii aliepigwa shaba alikua anamkataza si ajabu kujataza kwake ni kwa matusi na kufoka, jamaa akakasirika ngoma ikacheua mara 3, kuona kaharibu na huenda alikua hana cha kupoteza nae kajilipua.
Kaka yako alikua mzima kichwani kweli,,That is My brother.Maneno yenu Makali sana
Kohoye ni nani?Alex, mwanawe sana Kohoye G. Marehem kapewa bastola hivi karibuni nadhani hata miezi 3 haijafika.
Sukuma Gang...mlishashindwa...jaribuni tenaHuu mwaka Ni mwaka ya wachaga kutoa roho za watu, juzi Kati mchagga kang'oa macho ya mama yake mzazi,juzi Tena mchagga kachoma nyumba na kumuua mme wake ,Jana tu mchaga kapiga Innocent man kwa risasi na kuua,Hawa watu ni makatili Sana kuliko jamii yoyote.
Mungu atunusuru na hii jamii ya wachaga ,sijui tu siku wakichukua nchi, watakua wanatufata majumbani na kutuua.
Rest in peace marehemu wote waliouiliwa na wachagga ndani ya wiki hii.
mzee wa tusker baridi unamjua huyo jamaa au sio mlevi mwenzakoWatu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.
Habari zaidi zitawajia
MUENDELEZO...
===
Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.
TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)
View attachment 1857511
Alikuwa babe wangu kitambo
Hahaha chizi Sana wew[emoji23][emoji23][emoji23] na mimi nasubiri kuimiliki. Itakua dawa ya wale ukipita kwenye mikusanyiko mara akushike tako mara nyonyo. Napiga kidudu chake
Walaaa mkuu...lkn huo ndo uhalisiaUnavosema mererani ..moja Kwa moja unataka hii habari watu waihusishe na kaskazini sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ..kama ya neema
[emoji23][emoji23][emoji23] eeh, nachukiaga haka katabia. Ndo maana nilipachukia kkoo. Sasa narudi tena. Yaan kitawakaaa.. kidudu nakipiga rirasi chaaap aache ujeuri maana ndo kinambust ukichaa.Hahaha chizi Sana wew
Usifikiri watu wote wazima
Watu wana misongo ya mawazo+uchizi
Ova
Ahaaahaaaahaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wachaga wengi ni washamba shapu, limbukeni, roho mbaya, wizi.
Sasa wachaga ndio wanatisha kwa mauaji tena ya kikatili. Mtu anamng'oa mama yake macho kweli?
Mwingine ananunua petrol anamkaanga mpenzi wake tena amesubiri jamaa amemtundika goli 3 amejichokea ndio akamchoma moto.
Kuna mwingine kamtapeli waziri, na kuna huyu taahira kaua na kujiua.
Wachaga ni wa kukaa nao kwa akili.
Mademu zangu wote wa kichaga nimewapiga block kubwa sana. Na washkaji naishi nao kwa akili kubwa.
Video hizi hapa
mzee wa tusker baridi unamjua huyo jamaa au sio mlevi mwenzako
Uoga wa kukuila hao watu wote hapo Bar walishindwa kumdhibiti kabla huyo fala, alivyompiga risasi tu ya paja jamaa, ilitakiwa palepale mtu arukenae kwa nyuma, Watanzania ni waoga sana sana