Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Pombe mbaya sana,nilitaka kumpiga wife nikamkosa mkono ukaumia nikashonwa nyuzi zaidi ya 25.Nilichukua maamuzi magumu,niliona imenishinda nikaacha,namshukuru Mungu aliye hai mana mkono wake umeniponya
 
Alikuwa anakutafuna si ndiyo! Inabidi muanzishe chama na Jocate a k a mkuu wa wilaya.
 
mkuu tupo tunaokusubiri utufungue macho kuhusiana na hiyo bar
 
Mkuu picha za kichwa chake na ubongo hauna utuwekee tuone, wengine tuko mbali.
 
Umekosea maelekezo, ni kulia siyo kushoto
 
kosa lilifanywa na wote waliokuwa pale....alipotoa pistol once.....ilipaswa aripotiwe police direct....nae yule usalama taifa aliekuwepo pale,, mzembe sana....anajua mbinu zote za kiintelijinsia...but aliishia kuonyesha ID tuu...sbb hata wao hawaruhusiwi kuwepo kwenye starehe na silaha....incase kuna progress wanaimendea....so yule raia hakupaswa kuwa nayo pale sembuse kuionyesha.....alipaswa kuchukua hatua hata kwa kuripoti kimya kimya....ona klichotokea sasa...... wananchi wapewe elimu juu ya kuripoti matukio kama haya mapema sana.....la sivyo watakufa wengi mno......pole wafiwa...poleni WATANZANIA wenzangu.....hili ni janga pia...
 
Logic
 
Vyombo vya usalama pekee ndo vingeweza kumdhibiti ndugu na sidhani kama hawakutoa taarifa... mtu ana bastola unaanzaje kumsogelea na unaona mwenzio kauliwa bila sababu hapo.
Unaambiwa hapo walipokuwepo kulikuwa na mtu wa usalama,wanakunywa wote na alimwambia kitendo anachofanya siyo
Sasa hapo ndipo alitakiwa kumzuia,lkn inaonekana jamaa alipompiga jamaa watu
Wote walitoka nduki

Ova
 
Unaambiwa hapo walipokuwepo kulikuwa na mtu wa usalama,wanakunywa wote na alimwambia kitendo anachofanya siyo
Sasa hapo ndipo alitakiwa kumzuia,lkn inaonekana jamaa alipompiga jamaa watu
Wote walitoka nduki

Ova
Mtu wa usalama nae wakufukuzwa huyooo kengee kabisaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…