Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
As long as wote tunasimuliwa then hakuna ambaye anaweza kulielezea hilo tukio kwa uhakika 100%Kumbe unapangia watu how to attack ana enemy sio?
Usipangie watu
Yeye kama mwanadamu rationally kaona another human being kageuka threat kwa kiwango alichohisi yeye,retaliation aliyofanya yeye kaona ile dozi ndio itampa assurance ya his aggressor kwenda down.
Yeye ndio alikua kwenye scene na aggresor,hujui Gift nae kama alikua na bomba au alikua na shoka etc....
Acheni kujifanya mna moral judgement wakati wewe sio Alex wala Gift
Kazingua,possibly yes kwa lens unayotumia wewe
Gift pia alikua aggressor kumfata na kutaka kumshika na kumtukana
Thats what chu get...
Tujifunze kuheshimiana kila mtu na uhuru wake,tusiingiliane,kama hupendi navyoongea shauri yako,ilimradi sijakutukana na wala sijafanya reaching na wewe
Kama kutoa bunduki wazi ni kosa,pigia simu polisi aje anichukue na nikajibu kwa hakimu,sio mnajifanya kunifata na kunitukana na kutaka kuchukua bunduki yangu
Hiyo ni experience yangu kwa miaka hiyo inayozungumzwa mbwiga wewe, O and A level zote nimesoma upanga, na nimesoma na hao watu wa age ya Alex miaka hiyo, ndiyo maana Wyatt kasema jamaa alikuwa ni mdogo zaidi classWatu wanajifanya wana makadi ya wenzao. Mtu anayetoka familia inayojitambua kuwahi shule ilikuwa jambo la kawaida sana sema kwa kuwa wao walikuwa wa familia za wafugaji wanadhan kila mtu ametokea huko
Wewe kweli unamfahamu Alex James Koroso (Abdi Hussein).mama yake ndio anatoka rombo ila wameishi moshi mjini all their life
dingi yake yupo moshi mjini majengo
nadhani watamzikia kwa dingi yake majengo...
nigga was famous na mbwembwe zake
Nimemisi sana moshi. Miaka hiyo ha 90s na 90s tumeishi huko. Wazazi wangu wamepiga mishe sana hapo. Napapenda sana mishi mjini has pana moderate temperature yake na pia lifestyle yake. Lazima uwe famous kama una vitu vya kipekee hapo. Ile old generation ndo onaenda ikipotea potea. Majengo wanazikia majumbani kama huku milimani?mama yake ndio anatoka rombo ila wameishi moshi mjini all their life
dingi yake yupo moshi mjini majengo
nadhani watamzikia kwa dingi yake majengo...
nigga was famous na mbwembwe zake
Angalau wewe unaeleza kitu kinaeleweka! Haiwezekani mtu akapigwa risasi bila kuchokoza.Ni kweli,Alex kamaliza Form Six 2003 maana alisomea Makongo nadhani
Olevel ni 1997-2001 Old Moshi,primary kasoma Rau Primary moshi mjini
Jamaa ni kweli kamaliza form four akiwa 17 years mzee unabisha nini sasa?
He was the youngest ,smallest and the most loudest little nigga in his classes...
Apart from majivuno,the nigga was the most smartest japo darasani alikua mtu wa middle numbers!
You are stupid and silly as fu.c.k, plus you can't even express yourself in a single paragraph using plain English. You just feel the need to go against everybody else's opinions and common sense due to whatever egotistical, ignorant and arrogant reasons you may have in you.nakuelewa
ila yeye hua ana claim ni mchagga as such na moshi nzima anajulikana that way..
kwa moshi Alex was as famous,you just cant believe it,hiyo ni tangu akiwa primary
mazishi yake moshi yatakua big issue.....
alex was famous in moshi acha kabisa
Naskia wewe ni boya humu🙂🙂
Msalimie sana Baba wa Taifa. mwambie tunamisi sana busara zake.
kosa lilifanywa na wote waliokuwa pale....alipotoa pistol once.....ilipaswa aripotiwe police direct....nae yule usalama taifa aliekuwepo pale,, mzembe sana....anajua mbinu zote za kiintelijinsia...but aliishia kuonyesha ID tuu...sbb hata wao hawaruhusiwi kuwepo kwenye starehe na silaha....incase kuna progress wanaimendea....so yule raia hakupaswa kuwa nayo pale sembuse kuionyesha.....alipaswa kuchukua hatua hata kwa kuripoti kimya kimya....ona klichotokea sasa...... wananchi wapewe elimu juu ya kuripoti matukio kama haya mapema sana.....la sivyo watakufa wengi mno......pole wafiwa...poleni WATANZANIA wenzangu.....hili ni janga pia...
Mbwiga anasema asante.Hiyo ni experience yangu kwa miaka hiyo inayozungumzwa mbwiga wewe, O and A level zote nimesoma upanga, na nimesoma na hao watu wa age ya Alex miaka hiyo, ndiyo maana Wyatt kasema jamaa alikuwa ni mdogo zaidi class
Kamzike sasa broDogo alikua famous aisee...alikua anapenda attention
Mostly alikua very very good guy,anapenda company sana,very good dude
Without him my childhood isingekua poa...official name yake shule ilikua Abdi Hussein
Ukigeuka ni Alex Buretta,ikafika times anatumia Alex Games,ikawa Alex James,ikaja Alex James Korosso,nasikia ukubwani Dar wanamuita Simba
I remember him sana,yeye ndio alitufundisha ku-surf internet,kufungua email,kudownload mp3 miziki,ku-burn CDs,etc..hiyo ni 1990's ujue
Yeye ndio kwa mara ya kwanza akiwa primary hiyo ni 1996 huko ana video game console ya Nintendo..watu tulishangaa katolea wapi
In the 90's hakuna cassette ya movie yeyote,au rapper yeyote wa America umwambie akuletee ashindwe..imagine ni 1997 kushuka chini Moshi mjini cafe ni moja na mji umejaa tope wote
Magazine gani kutoka America iwe Source,Slam,etc Abdi Hussein hana na tena ni mapya?
Hapa naongelea mtu alikua 12-13-14-15-16 years old!
That little nigga was legendary aisee
Sema angeingia 18 zangu namtoa ubongo kabala haja koki lakini bunduki angepata Drop kick moja matata sanaNtatuma ujumbe mshua
Rest in peace my nigga
Kila anaemjua tangu utotoni atakuambia that nigga was legendary kua ahead of people in lifestyle
He was good dude kiukweli ila kuna wasiompenda sababu anawapiga bakora kwenye their own majigambo game
Majigambo wenzie ndio waga wana tatizo nae,ila sisi low key,tunamkubali sana!
Jamaa alihisi yupo Marekani 😅😅😅Inamaana wwe hujui kuwa kutoa tu silahaa kwenye public ni kosa kisheria hata Kama unamiliki ki halali!? Sasa kila Sasa ukiwa unajisikia kutoa bastola unatoa tu!? Silahaa inatakiwa itoke kwenye hatari na siyo kuitoa kwa show tu,kuna watu wengine wabaya wakijuwa una silahaa tu lazima wakuwinde hadi wakunyanganye hiyo silahaa yako wakapige nayo kazi za maana siyo kazi zenu za kutisha Walevi bar na bastola zenu!!
Sawa, poleMbwiga anasema asante.
Kwani miaka hiyo dar ikiwa vichaka karibia yote wafugaji wa ng'ombe unadhani hawakuwepo?
Wala jibu langu halikuwa kukuataki
Kuna omela mmoja Niko Ndugu uko mwanza kisa nmemwambia counter aweke nyembo ya ney wa mitego hakuna maisha magumu tofauti ni viwanjo na alikuwa anamtaka demu tuko nae kwa meza akajaa mazima kuchoma gun nikanyoosha sime namwambia ukikoki tu nakuua nakukata shingoMkuu
Alex sio fala kiivyo....
Sema kawa mtu mzima hadi naona alikua na kitambi
Jamaa sio fala the way you think...ingetokea shootout
Ila kama wote mna gun mngeheshimiana tu wala msingeletea altercations zote hizo
Hasira naskia zilikuwa za kuzuiwa na huyo askari asifanye fujo maana alimwambia ninayo ya nguvu kuliko yako hivyo tulia tunywe bia tu hapa amani!Kabisa....kama inavyosemakana pale alikuwepo askari sijui na alimuonya huyo askari angemkamata amzuie kabla ya kufanya maafa
Ova
Ooh, buretta ni Keni hiyo kwa mamake basiDogo alikua famous aisee...alikua anapenda attention
Mostly alikua very very good guy,anapenda company sana,very good dude
Without him my childhood isingekua poa...official name yake shule ilikua Abdi Hussein
Ukigeuka ni Alex Buretta,ikafika times anatumia Alex Games,ikawa Alex James,ikaja Alex James Korosso,nasikia ukubwani Dar wanamuita Simba
I remember him sana,yeye ndio alitufundisha ku-surf internet,kufungua email,kudownload mp3 miziki,ku-burn CDs,etc..hiyo ni 1990's ujue
Yeye ndio kwa mara ya kwanza akiwa primary hiyo ni 1996 huko ana video game console ya Nintendo..watu tulishangaa katolea wapi
In the 90's hakuna cassette ya movie yeyote,au rapper yeyote wa America umwambie akuletee ashindwe..imagine ni 1997 kushuka chini Moshi mjini cafe ni moja na mji umejaa tope wote
Magazine gani kutoka America iwe Source,Slam,etc Abdi Hussein hana na tena ni mapya?
Hapa naongelea mtu alikua 12-13-14-15-16 years old!
That little nigga was legendary aisee
Yaani ningeskia tu krakacha ningemtoa machoHahahaaaa
Mkuu,sime mbele ya Berreta?
Kua serious mzee!
Umeponea sana,next time ni ubongo unapotea!
Say it in English only, could you?Unaona sasa
Una catch feelings like a loser
Yaani mtu akienda kinyume na hoja za watu inakufanya unakua manung'uniko namna hii?
Sipo hapa kuonesha nani anajua Kiswahili au English zaidi ya nani,kama hiyo ni hoja yako nitoe kwenye hiyo competition
Mimi natumia lugha kama tool kufikisha my point across
Wewe kama hupendi my labnguage usage and style,too bad,I cant help ya.
Mimi natoa hoja za upande wa pili regardless....alieua ni mwanangu utoto kule I know him na pia natoa perspective rationally
Kama hunipendi sio tatizo na kama hupendi nachoongea sio tatizo,sio lazima tupendane