Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Kuna watu wanasema marehemu angedhibitiwa, unawezaje kumdhibiti mtu anayekununulia pombe? Boss siku zote yupo right nyie kunyweni, kuleni na kuchekacheka kila anachoongea boss!
Huyu kudhibiti ilikuwa ngumu.....
manake unaweza kusema umnyemelee upige kabali upokonye bastola.....
ukageuziwa kibao kwamba ww ni mnyang'anyi
 
Mkuu ndo maana mimi jambo la watu kumilikishwa silaha naita kipumbavu pumbavu nalipinga sana aisee,,
Sbbu at that moment mtu ana hasira ata react kumaliza hasira yake muda ule,,
Ndo hayo ana bastola kiunoni anaua,,
Huyu jamaa kama angekua hana bastola am sure angerusha ngumi au chupa t jamaa angeumia kidogo angepelekwa hospital imeisha..
Bastola sio masihara mtu anabadilishwa jina hapo hapo aisee,then wat wanaitwa yatima na wajane..
Serikali inabd waliangalie hili jambo
 
Hahaaa mwamba umekumbushia mbali kweli, nimepiga sana dindi mto karanga enzi hizo. Umesahau na wale magovi wengi walikua woga kuogelea na wenzao.
 
Hivi huyu James oraa si ndio mkewe mkubwa na watoto walifia ndani kwa ajali ya moto?
Huyo mshua James Oraa Korosso alihamia Moshi kitambo na Alex ni mtoto wa nje mama yake mchagga na Alex kaenda kwa dingi yake nadhani wakati anaingia form 1.

Alex kaishi na mama yake full....
 
Pia umesahau, ninahisi jamaa alikuwa na library ya novels kwao tukiwa form 2 hapo old moshi kila siku au baada ya siku mbili lazima aniletee kitabu cha James Hadley Chase ninakisoma faster ninamrudishia kesho yake ananiletea kingine. Nitamkumbuka kwa hilo. Pia the good side of him alikuwa fighter wa maisha na alitoboa. Go in peace Koroso!!
 
Basi bwana Gift alikuwa wale wazee wa mishahara miwili miwili...ila yule bwege kama alikuwa kachoka kuishi angejiondoa mwenyewe
 
Basi bwana Gift alikuwa wale wazee wa mishahara miwili miwili...ila yule bwege kama alikuwa kachoka kuishi angejiondoa mwenyewe
Sasa ni kwanini hawakupiga simu mapema polisi, ili waje kuthibiti hayo yalio tokea? Mambo mengine yanasononesha sana.
 
Mwamba nawe umepita old enzi ya Ramwasi.
 
Kwa picha zile alizokuwa anapost Insta anaonekana alikuwa Mshamba bado.
 
Wwe unaonekana hata Majirani zako unawapa shida sana,na umarekani wako wa kuecti! Ukiishi uswahilini kwetu hizo mbwembe hutakua nazo hata Kama unamiliki Beretta!!
Huyo ni Mshamba mwenzie
 
Wanaume wa Sinza!mnaishia kuangalia midevu tu,kulewa huku hamna pakee aka pesa mbongo,ndo mana mnazibuliwa tu.
Huyo mshamba muuaji enzi zetu tungekua tushamkalisha ground huku miguu tumevunja na bastola yake hiyohiyo.
Enzi hizo watu wanatoka na machine gun na AK 47,mnavamia mahali mnalamba chenu mnatimka.
Kauli mbiu usimuatack mtu yeyote mpk akubugudhi,
Kuua ilikua last decision,kwamba nisipomuwahi nakufa mimi.
Sasa hilo fala eti linaenda bar kulewa linaanza kufyatua risasi ovyoovyo juu mara linakumbushwa linamshoot anayekumbusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…