Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

Tanzania Tanzania Tanzania watu ninyi mnachotafuta kwa Mungu mtakiona endelea kumwaga damu ila hizo damu zitawarudia.Pole familia ya marehemu.
 
Nanii angekuwepo hai wangesema yeye anahusika.
Naomba niishie hapo
 

Ngoja niishie tu kutoa Pole yangu ila....!!
 
Haya ya utekaji na uuaji tulishayasahau,yani Jiwe kaondoka tu haijapita hata mwezi tayari maonezi yameanza.Daah so sad
Haya ninyi mliokuwa mnamhusisha Magu mpoo!? RIP dada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…