Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

Kabaki sifa tu ,hana ujanja yupo kimya ...Anawza kuzuia maandamano tu.
 
Walisema kigambano itatoweka yoteπŸ˜‚πŸ˜‚eti ni sehemu ya maji ile kwa hiyo maji yatarudi kule kweny sehemu yake
 
Kwa hiyo unaukubali huo unabii kwamba dar yote itafunikwa na maji kufikia mwezi wa 5?
 
Nimemkumbuka sana yule nabii alisema mpaka Mei, mitaa ya bunju Mbweni mjiandae bahari itasogea mpaka Tangi bovu πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…